Hajawahi kuniambia kama namridhisha

Desa hili hapa, chukua copy halafu nirudishie baada ya kutumia. Fake and real women's orgasm zinajulikana.
Mwanamke wakati anafika:-
  1. Utamwona jinsi midadi/pressure zinavyompanda na inaambata na milio japo wa mtu wako unaujua mwenyewe
  2. Juhudi yake inaongezeka maradufu pamoja na kukung'ang'ania
  3. Uke unabana zaidi kiasi kwamba urahisi wa kuingiza na kuchomoa unapungua
  4. Anatenda matendo ambayo yapo nje ya uwezo wake yeye kuyacontrol
  5. Wakati ndio bao lake linakaribia kutoka anaweza:
    • Kukukumbatia kwa nguvu zaidi
    • Kutamka maneno ambayo usipoangalia mengine unaweza hata kucheka, maana hajitambui (usithubutu kucheka maana hatafika tena)
    • Kukuimba hata kwa jina lako
  6. Akishapiga bao analegea, anakuwa mpole sana, aibu nyingi macho makavu hayawezekani tena, anakuwa mwepesi kupitiwa na usingizi baada ya kuishiwa na nguvu.
  7. Anaweza asikupe ushirikiano mzuri wa kuendelea na bao la pili, maana yeye tayari.
  8. Kama ni usiku, kesho yake majukumu yake ya kawaida ya nyumbani anayatenda kwa upendo zaidi. Kama ni mke utamwona akiperform kama mwanamke, mke wa mtu.
  9. KWA UFUPI VILE UNAVYOPIGA BAO WEWE NA YEYE NI HIVYOHIVYO

Ni PM tafadhaliii... tupeane hata kimoja....... Khaaa!!
 
Namba sita wajameni unalala tena wakati jamaa bado au inakuwaje hapo
 
Ndugu yangu ..nakubaliana na desa la hapo juu lakini nachukulia kama “mechanical approach” ambayo ina – depend na kuwajibika uwanjani..binafsi ningependa kuongeza ifuatavyo..

Kuridhika kwa mwanamke kunatokana na vitu vingi sana na siyo Physical Sex action alone..kama minguvu yako imesadia basi ilikuwa bahati tu..kumbuka mwanamke ni kiumbe very sensitive kimwili na kiroho..sasa wewe ukitaka kumridhisha mkeo au mpenzi wako basi kumbuka kufanya mapenzi kwa mi-nguvu au kunywa dawa ile uume wako uwe mrefu haitokusaidia..

Kwanza inabidi umwandae mwanamke kisaikolojia kabla ya kitandani..Mapenzi kitandani ni sehemu ndogo na ya mwisho kabisa..Kitu kikubwa ni maneno yako na matendo yako ya siku ile vitu hivi vinachangia sana kumridhisha mwanamke kitandani..Jaribu kuvuta hisia za mwanamke siku nzima na hata wiki nzima..muonyeshe unamjali na unampenda..sio kwa kumwita darling ila kwa vitendo..maandalizi ya mwanamke kuwa na hamu ya mapenzi yanachukua muda..Kumbuka inakuchukua muda wa dakika 5 wewe kama mwanaume kufika kileleni..lakini inachukua hata dakika 20 hadi 30 kwa mwanamke kuwasha tu na kupasha moto mapenzi..Sasa wewe ukiwa unakurupuka utakuwa unachekesha…Kumbuka unaweza kupunguza muda huu kama utakuwa umendaa mazingira mazuri ..hapa siongelei “foreplay” ambayo mimi naiweka kama sehemu ya “action” naongelea vitu ambavyo haviendi kabisa na hiyo action..yaani ume-behave vipi siku hiyo, umeongea nini, sms gani umetuma..yaani .. tengeneza Peaceful environment.. ukiweza kutayalisha mazingira haya..ukifika ule wakati wa 6 by 6 ..yaani zile dakika 20 za warm up zitapungua hadi 10…na wewe kama nanii yako ni ndogo basi siku hiyo itaonekana kubwa..kwani dada atakuwa amekuweka moyoni na rohoni kabla hata ujagusa “armour” ..yaani hata kama sio mjuzi yeye atakuwa ameshakufanya mjuzi..yaani anaridhika kuwa nawe zaidi kuliko mapigo yako..Anaridhika kwa kumkumbatia kuliko mapigo yako…Na kama wewe sio m=binafsi kama walivyo wanaume wengi hutapenda kufunga goli within 5 minutes..utasubiri uone upande wa pili ukoje..

Dalili za kuwa mwanamke ameridhika ziko nyingi..sio za hapo kitandani kwani zaweza kuwa fake..Angalia lugha..kujali/care..discipline..behaviour n.k..yaani kama rafiki yako ni mzungu unaweza shangaa akakimbilia jikoni kukupikia ugali ingawa hajui…Ukiona dalili hizo ujue

.............once again, naona umetoa ufafanuzi mzuri...
keep it up Tulizo,
hopefully huu ushauri utawapendeza zaidi mme/mke........
Lakini hawa wa fasta fasta, sidhani ..........am sorry!!!!!
 
Hapo ni sahihi kabisa mkuu Tulizo. Tatizo watu (me) tunachukulia mapenzi kama mechanical, huku tukiamini katika idadi ya bao tunazopiga, kumbe tunawachosha wenzetu.
 
Hii nimeipenda! Unajua kuna kipindi nilikuwa napita pita kule kwenye Jukwaa la Vita na Magamba. Siku hizi nimepunguza kwa kuhofia nitafikia hatua ya kujitoa mhanga bure kama taliban.

hapa huwa napita kurefresh tu halafu narudi kwenye jukwaa letu
 
Desa hili hapa, chukua copy halafu nirudishie baada ya kutumia. Fake and real women's orgasm zinajulikana.
Mwanamke wakati anafika:-
  1. Utamwona jinsi midadi/pressure zinavyompanda na inaambata na milio japo wa mtu wako unaujua mwenyewe
  2. Juhudi yake inaongezeka maradufu pamoja na kukung'ang'ania
  3. Uke unabana zaidi kiasi kwamba urahisi wa kuingiza na kuchomoa unapungua
  4. Anatenda matendo ambayo yapo nje ya uwezo wake yeye kuyacontrol
  5. Wakati ndio bao lake linakaribia kutoka anaweza:
    • Kukukumbatia kwa nguvu zaidi
    • Kutamka maneno ambayo usipoangalia mengine unaweza hata kucheka, maana hajitambui (usithubutu kucheka maana hatafika tena)
    • Kukuimba hata kwa jina lako
  6. Akishapiga bao analegea, anakuwa mpole sana, aibu nyingi macho makavu hayawezekani tena, anakuwa mwepesi kupitiwa na usingizi baada ya kuishiwa na nguvu.
  7. Anaweza asikupe ushirikiano mzuri wa kuendelea na bao la pili, maana yeye tayari.
  8. Kama ni usiku, kesho yake majukumu yake ya kawaida ya nyumbani anayatenda kwa upendo zaidi. Kama ni mke utamwona akiperform kama mwanamke, mke wa mtu.
  9. KWA UFUPI VILE UNAVYOPIGA BAO WEWE NA YEYE NI HIVYOHIVYO
Sharp Observer... hili Desa kama ni la paper basi jamaa angepata Banda (A). nafikiri wanawake walio wengi hawako tayari sana kuwaambia wapenzi wao kama wameridhika au la... wakati mwingine kwa lengo jema pia. Si wanaume wote wako tayari kufahamu kuwa wameshindwa... tuambiane ukweli wewe umetumia akili na ujanja wako wote kumwandaa, na kukamilisha mchezo mzima halafu akwambie sijafika... it will not sound good to all men. Ili kuepusha hili inabidi a pretend, although kwa wanawake waelewa ni wamilivu as usipofikishwa leo utafikishwa kesho. Si wako bana na siku hazilingani, inategemea na mood pia(yaani siku yako nzima ilikuwaje n.k). Ila kwa mwanaume mwenye kumwelewa mpenzi wake vyema akifika kileleni lazima ajue bana... ni mtazamo
 
ukiona hivyo ujuwe bado kazi yako haijawa ya ukweli, hauitija kuambiwa utaona response yake wakati unakula kazi. na kazi yako ikiwa nzuri siku nyingine mwenye atakukumbusha marudio ya game
 
Mambo vipi ndugu zangu,.....mimi ni (ME) tatizo ni kwamba (KE) wangu hata siku moja cjamsikia akisema nimemfikisha kwenye tendo. hata hivyo bado najiamini kuwa huwa nafanya kazi yangu kiukamilifu na kwa ubunifu mkubwa, Lakini pia wanawake huwa wanajua kuwa hata sisi wanaume tunahitaji kuridhika? any way swali langu la msingi ni hili, kama sijaambiwa na mwenzangu kuwa ameridhika, mimi naweza tumia ishara gani toka kwake kujua kuwa nimewajibika kwa ufasaha, maana nikimuuliza anaweza kunijibu kuwa kafika lakini ikawa si kweli bali ananiridhisha tu!
Nawasilisha

huyo KE wako namsifu sana ana akili sana... u know why? kwa kuwa wewe binafsi unaamini umeshawajibika kwa ufasaha hivi utajisikiaje kama mwenzako atakwambia hajaridhika? minacho kiona mie ni wewe kukasirika kuwa pamoja na ufanisi wako wooote yaani haridhiki tu, anachofanya huyo KE ni cha kistaarabu sana,m ameshagundua kuwa hapo wewe ndio umemaliza ujuzi na ufanisi wote, na yeye hajaridhika, sasa anaona atakuumiza endapo atakwambia hajaridhika. na siku akiridhika kweli lazima utajua tu atakuwambia tu. punguza kujiamini kuwa umeshafanya kwa ufanisi badala yako jifunze kutoka kwake zaidi anataka umfanyie nini ili aridhike.
 
Desa hili hapa, chukua copy halafu nirudishie baada ya kutumia. Fake and real women's orgasm zinajulikana.
Mwanamke wakati anafika:-
  1. Utamwona jinsi midadi/pressure zinavyompanda na inaambata na milio japo wa mtu wako unaujua mwenyewe
  2. Juhudi yake inaongezeka maradufu pamoja na kukung'ang'ania
  3. Uke unabana zaidi kiasi kwamba urahisi wa kuingiza na kuchomoa unapungua
  4. Anatenda matendo ambayo yapo nje ya uwezo wake yeye kuyacontrol
  5. Wakati ndio bao lake linakaribia kutoka anaweza:
    • Kukukumbatia kwa nguvu zaidi
    • Kutamka maneno ambayo usipoangalia mengine unaweza hata kucheka, maana hajitambui (usithubutu kucheka maana hatafika tena)
    • Kukuimba hata kwa jina lako
  6. Akishapiga bao analegea, anakuwa mpole sana, aibu nyingi macho makavu hayawezekani tena, anakuwa mwepesi kupitiwa na usingizi baada ya kuishiwa na nguvu.
  7. Anaweza asikupe ushirikiano mzuri wa kuendelea na bao la pili, maana yeye tayari.
  8. Kama ni usiku, kesho yake majukumu yake ya kawaida ya nyumbani anayatenda kwa upendo zaidi. Kama ni mke utamwona akiperform kama mwanamke, mke wa mtu.
  9. KWA UFUPI VILE UNAVYOPIGA BAO WEWE NA YEYE NI HIVYOHIVYO

ama kweli wewe ni sharp orbserver !!!
 
Back
Top Bottom