Hajapata usingizi zaidi ya miaka 60!! Inawezekanaje?

Hajapata usingizi zaidi ya miaka 60!! Inawezekanaje?

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
2,815
Reaction score
4,658
Duniani kuna mambo yanashangaza sana

Kuna mzee mkulima mwenye umri wa miaka 81 anayejulikana kwa jina la THAI NGOC hajafanikiwa kupata usingizi ndani ya miaka 60

Yaani yeye anashinda anapiga zake game na kuvuta sigara halali kabisa yaani.Hata familia yake na majirani wamekiri kuwa hawajawahi kumuona akilaza mgongo wake chini

Tuliopita JKT at least tulikaa 8 weeks bila kulala na mziki wake tuliuona Je huyu wa miaka 60?

Hii ni Maajabu
Screenshot_20251230_165850_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom