mwenzio nipo kanisani kwenye maombezi we unasema tupo sofani!!!!!hahahaaaa! Anakuzingua huyo anakutega tu. Hata hapa tunvyoongea yupo kwenye sofa kaweka kichwa chake kifuani kwangu. Tunakupimia tu unavyotaka kunipanga folen
nikikuendea wewe kwa babu kuna ubaya?
nameless girl ni nn kumuumbua hivi shombe wangumwenzio nipo kanisani kwenye maombezi we unasema tupo sofani!!!!!
nameless girl ni nn kumuumbua hivi shombe wangu
duuuh! Kaniumbua kweli siyo mchezo mpaka naona aibu kufungua uzi huu. Hapa bora nikimbie tu kukwepa hii aibu
nimekuombea shemejiiii na nimekujaaaa... umeniita?
nimekuombea shemejiiii na nimekujaaaa... umeniita?
hahahaaaa amezima? mgiriki umezima? tuite ambulance!!!!Bora umeenda maana kashazimia mara NNE kwa siku ya leo
njoooo huku shem MGIRIKI... mie nilikua natania tu...:tonguez::tonguez:duuuh! Kaniumbua kweli siyo mchezo mpaka naona aibu kufungua uzi huu. Hapa bora nikimbie tu kukwepa hii aibu
Ningekufa ww ungepata faida gani hehehe
shostiiiii nna liaidiaaaaa.. hapa ndo kwa kumpeleka kwa babu... akiamka tu.. anakuwaza weye, wacha hizo habari za ambulance... waonaje?Tuwahi tusije mpoteza
shostiiiii nna liaidiaaaaa.. hapa ndo kwa kumpeleka kwa babu... akiamka tu.. anakuwaza weye, wacha hizo habari za ambulance... waonaje?
hahahaaa sijui ana kilo ngapi huyu shem MGIRIKI...Brilliant idea.. you are such a genius!
Hebu Fanya fasta