Hajafa tu?

Hajafa tu?

Status
Not open for further replies.
Yaani kwa kujijali tu umeejaaliwa mpaka nahisi Kama naelea hewani

Sana tu my Baby halafu hawa wakina Mgirik hawa wanataka kunilazimisha niwa UFOO mimi sitaki. Mimi na wewe ni mahaba tu hadi mahaba yatuchukie
 
Last edited by a moderator:

Sana tu my Baby halafu hawa wakina Mgirik hawa wanataka kunilazimisha niwa UFOO mimi sitaki. Mimi na wewe ni mahaba tu hadi mahaba yatuchukie

Na yatuvuruge Kama 201...
 
Last edited by a moderator:
Dear misitu ya Congo mbali naenda misitu ya Ngende kuna utaalamu wa haja..atajuta kunifahamu huyu Mgirik
Ukifanikiwa huko, nami unipeleke shostiii mana rimoyo rangu rimemdondokea jamaa moja hira renyewe hata kunitazamaga harinitazami hahahaaaaaaa....
 
Dear misitu ya Congo mbali naenda misitu ya Ngende kuna utaalamu wa haja..atajuta kunifahamu huyu Mgirik

sasa natengua kauli na nalegeza mashart ukitaka kuwa na shombe a.k.a Mgirik fanya haya: mkane Mu-sir mbele yangu sema humtaki tena na unamchukia hapo utapewa nafas kwa shombe
 
Last edited by a moderator:
ila huyo Excel hapana nina was was sana nayeye kwann kila ukimtaja moyo waniuma?? Hapa natakiwa nichunguze atakuwa mchepko huyo

Heheheee...kweli umevurugwa...kila mtu unamuhisi mchepuko...
 
Last edited by a moderator:
Imenasa ila mwenyewe nameless girl anainasua....panga foleni unapohitajika kalagabaho.....m

hahahaaaa! Anakuzingua huyo anakutega tu. Hata hapa tunvyoongea yupo kwenye sofa kaweka kichwa chake kifuani kwangu. Tunakupimia tu unavyotaka kunipanga folen
 
Last edited by a moderator:
tatizo ww bonge sana ndio maana naogopa. Ntashindwa hata kukubeba

Hahahaaa...mi sio kibonge ni kipotabo Sema tu nimejaaliwa mnooo..so lazima uwe na nguvu kuunyanyua mzigo
 
sasa natengua kauli na nalegeza mashart ukitaka kuwa na shombe a.k.a Mgirik fanya haya: mkane Mu-sir mbele yangu sema humtaki tena na unamchukia hapo utapewa nafas kwa shombe

Hahahaahaaa... kumkana hadharani itakuwa sijamtendea haki ukizingatia next week tunaenda shopping hong Kong na Los Angeles.... huyu Mu-sir ndio ananiweka mjin mie..khaaaa unataka niadhirike.
Ushombe hauliwi wala haunipeleki shopping abroad. We kubali tu kuwa kwenye foleni especially zile siku pedeshee Mu-sir kasafir
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom