Hajafa tu?

Status
Not open for further replies.
Hehehereee....kupangwa foleni na shombeeee shosti...
Mi umbea ndio kipaji japo kusutwa live naogopa...hahahaaa
Hahahaaaa ukiona wanakuja kukusuta we unajifanya umezimia tu.... ngoja na mgiriki nae apange foleni shost... handsamu huyoooooo...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa...nimecheka kweli....
Nisije nikazimia jumlaaaaa...
Lazima naye aipange!!
hahahaaaaa bora ulivompa hata chance ya kupanga foleni ingawa sina hakika kama atafika hata kwenye interview hahahaaa... mgiriki umeruhusiwa huku... shemejiyo najikakamua kukutafutia pumziko af we umeingia mitini!!!!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaa bora ulivompa hata chance ya kupanga foleni ingawa sina hakika kama atafika hata kwenye interview hahahaaa... mgiriki umeruhusiwa huku... shemejiyo najikakamua kukutafutia pumziko af we umeingia mitini!!!!

Mwambie ye avumilie tu kupangwa...ruksa ameshaingia kwenye mchakato kilichobaki ni juhudi zake tu.
 
Shem naona kaingia mitini, sijui kama atakuweza wakati introduction tu imemshinda:redface::redface::redface::redface::redface:
 
hahahahahaha acha uoga bhana unatupa wakati mgumu fans wako
 
hahahaaaaa bora ulivompa hata chance ya kupanga foleni ingawa sina hakika kama atafika hata kwenye interview hahahaaa... mgiriki umeruhusiwa huku... shemejiyo najikakamua kukutafutia pumziko af we umeingia mitini!!!!

folen mm siwez mm nataka kitu cha singapore..... Nmekwambia usirushe mpira kwa mwenzio huo ni wakwako ww ukumbati
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaa bora ulivompa hata chance ya kupanga foleni ingawa sina hakika kama atafika hata kwenye interview hahahaaa... mgiriki umeruhusiwa huku... shemejiyo najikakamua kukutafutia pumziko af we umeingia mitini!!!!

hahahaaaaaa! Et pumziko nani kasema?! Hapo umenitafutia stress na vidonda vya tumbo.....
 
Last edited by a moderator:
Kwa jina la alie juu naomba huyu mtu anaewaombea wenzake wafe basi akufe yeye mara moja. Wote sema Ameeen!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…