Haiti ni kielelezo cha ujinga wa Mwafrika

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,842
Reaction score
46,103
Kuna watu wanadhani kama wakiendesha utawala wa kubinya haki za raia na uonevu kwa wananchi kadri watakavyo basi maendeleo wanayofikiri wananchi wanapaswa kuwa nayo yatakuja na wananchi watafurahi.

Huko America ipo nchi inaitwa Haiti ambayo raia wake kwa zaidi ya 90% ni Waafrica wenzetu weusi. Kwa kipindi kirefu cha uhuru wake wa miaka zaidi 200 (Haiti imepata uhuru mwaka 1804, January 1) ikiwa ni nchi ya pili kuwa huru katika America baada ya USA iliyoitangulia kwa miaka 28 tu.

Pamoja na miaka mingi ya uhuru Haiti ni moja ya nchi masikini kabisa duniani. Ikiwa ndiyo kinara wa umasikini huko America. Hii yote imesababishwa na aina ya siasa ambazo wananchi wa Haiti wamejikuta wakikabilina nazo ambazo kwa kiasi kikubwa zinaendana na siasa za sasa za serikali ya Magufuli.

Haiti ni nchi yenye demokrasia ya maneno huku serikali ikiwa busy kubinya uhuru wa raia na kufanya mambo inavyopenda na siyo kadri raia wa nchi hiyo wanavyotaka. Lakini kwa sababu raia hawana cha kufanya imebidi waishi katika hali hiyo ambayo imewasababishia umasikini na unyonge kwa miaka 214.

America walipopata uhuru walichagua kuwa na siasa ya kistaarabu yenye kuheshimu haki za raia na uhuru wa kujieleza. Haiti wao ilikuwa kinyume chake na matokeo yake leo hii nchi hizi mbili za mwanzo kupata uhuru huko America moja wanaishi kama peponi (USA) na wengine wapo jehanum(Haiti)

Yanayotokea hapa nchini leo yananifanya nione kabisa nchi yetu imeamua kupita njia waliyopita/wanayopita Haiti. Kufail kwa Haiti imekuwa ni reference ya ujinga wa mtu mweusi. Kwamba hata ipite miaka mingapi hatuwezi kuendesha nchi ikaweza kuendelea.

Nawasihi viongozi wetu wabadilike na wakubali ukweli kuwa Watanzania siyo ng'ombe ambao wanaweza kuwaburuza kadri watakavyo. Waone umuhimu wa kuheshimu haki za raia na haki ya kuwa na mawazo tofauti. Mambo ya kusema mtu akiandamana ataenda msimulia baba yake au kuwa mtu akiandamana hata chumbani kwake watamkamata ni tabia za ki-Haiti na kama wataendelea hivyo basi wajue hata miaka 200 itapita na hakuna maendeleo yatakayokuwepo kama ilivyo Haiti.

Viongozi wetu waone aibu kusema uongo hadharani kama yule aliyesema wanaoandaa maandamano wanandaa risasi wajipige ili kuchafua sura ya nchi. Hata kama sisi Waafrica hususani Watanzania ni wajinga lakini tusioneshe ujinga wetu hadharani kama alivyofanya yule waziri wetu leo pale Singida. Waziri yule ni Dr. anapoamua kusema uongo hadharani kama alivyosema leo basi ajaribu hata kuufanya ili uonekane ni uongo uliotolewa na mtu mwenye PhD na siyo anaongopa kama kilaza wa darasa la nne.
 
"Huko America kuna nchi inaitwa Haiti ambayo asimia 90 ni WAAFRIKA wenzetu"

Sio kila mtu mweusi ni muafrica.

Anyway, naunga mkono hoja!
 
Aisee hakuna watu wanaelewa ubepari wa wazungu kama hao. Wamewalipa serikali ya ufaransa kwa kupata uhuru miaka hiyo
 
Acha uongo watumwa wa Haiti walifanya mapinduzi wakajichukulia uhuru wao
 
Kuna watu wanadhani kama wakiendesha utawala wa kubinya haki za raia na uonevu kwa wananchi kadri watakavyo basi maendeleo wanayofikiri wananchi wanapaswa kuwa nayo yatakuja na wananchi watafurahi.

Huko America ipo nchi inaitwa Haiti ambayo raia wake kwa zaidi ya 90% ni Waafrica wenzetu weusi. Kwa kipindi kirefu cha uhuru wake wa miaka zaidi 200 (Haiti imepata uhuru mwaka 1804, January 1) ikiwa ni nchi ya pili kuwa huru katika America baada ya USA iliyoitangulia kwa miaka 28 tu.

Pamoja na miaka mingi ya uhuru Haiti ni moja ya nchi masikini kabisa duniani. Ikiwa ndiyo kinara wa umasikini huko America. Hii yote imesababishwa na aina ya siasa ambazo wananchi wa Haiti wamejikuta wakikabilina nazo ambazo kwa kiasi kikubwa zinaendana na siasa za sasa za serikali ya Magufuli.

Haiti ni nchi yenye demokrasia ya maneno huku serikali ikiwa busy kubinya uhuru wa raia na kufanya mambo inavyopenda na siyo kadri raia wa nchi hiyo wanavyotaka. Lakini kwa sababu raia hawana cha kufanya imebidi waishi katika hali hiyo ambayo imewasababishia umasikini na unyonge kwa miaka 214.

America walipopata uhuru walichagua kuwa na siasa ya kistaarabu yenye kuheshimu haki za raia na uhuru wa kujieleza. Haiti wao ilikuwa kinyume chake na matokeo yake leo hii nchi hizi mbili za mwanzo kupata uhuru huko America moja wanaishi kama peponi (USA) na wengine wapo jehanum(Haiti)

Yanayotokea hapa nchini leo yananifanya nione kabisa nchi yetu imeamua kuoita njia waliyopita/wanayopita Haiti. Kufail kwa Haiti imekuwa ni reference ya ujinga wa mtu mweusi. Kwamba hata ipite miaka mingapi hatuwezi kuendesha nchi ikaweza kuendelea.

Nawasihi viongozi wetu wabadilike na wakubali ukweli kuwa Watanzania siyo ng'ombe ambao wanaweza kuwaburuza kadri watakavyo. Waone umuhimu wa kuheshimu haki za raia na haki ya kuwa na mawazo tofauti. Mambo ya kusema mtu akiandamana ataenda msimulia baba yake au kuwa mtu akiandamana hata chumbani kwake watamkamata ni tabia za ki-Haiti na kama wataendelea hivyo basi wajue hata miaka 200 itapita na hakuna maendeleo yatakayokuwepo kama ilivyo Haiti.

Viongozi wetu waone aibu kusema uongo hadharani kama yule aliyesema wanaoandaa maandamano wanandaa risasi wajipige ili kuchafua sura ya nchi. Hata kama sisi Waafrica hususani Watanzania ni wajinga lakini tusinyeshe ujinga wetu hadharani kama alivyofanya yule waziri wetu leo pale Singida. Waziri yule ni Dr. anapoamua kusema uongo hadharani kama alivyosema leo basi ajaribu hata kuufanya ili uonekane ni uongo uliotolewa na mtu mwenye PhD na siyo anaongopa kama kilaza wa darasa la nne.

Kasome historia ya Singapore na nchi nyingine zote zilizo katika kile kijulikanacho kama 4 Asian Tigers ujue njia zilizopitia kutoka kuwa mataifa fukara hadi kuwa mataifa tajiri...tatizo la mwafrika sio kumpa uhuru, ni kumbadili utamaduni wake completely (Culture, attitude and mentality)
 
Huku si ndio kule anatokea Fr Jean Bertrand Aristide aliyekua akibebwa sana na Amerika kwa mtutu wa bunduki aendelee kua Rais wa nchi hiyo au nimechanganya madesa wakuu?
 
Real, Unafahamu historia ya Haiti mkuu, Kama unaongelea kile kisiwa cha makazi ya watumwa waliochoka basi mleta uzi nina kupinga nenda google au Wikipedia soma vizuri The Haitian development and its reform utajua kwanini Haiti ni maskini
 
Baada ya hapo ndipo walikuwa wakiwalipa ufaransa kwa miaka mingi.
Robo ya uchumi wa ufaransa ulikuwa unategemea Haiti, Lakini majanga ya matetemeko na vimbunga na ukimwi ndio vimeimaliza Haiti ilikuwa tajiri mkuu

Baada ya uhuru mwaka 1801 wameteseka Sana mleta mada ni zerooo
Elimu elimu
 
Kuna watu wanadhani kama wakiendesha utawala wa kubinya haki za raia na uonevu kwa wananchi kadri watakavyo basi maendeleo wanayofikiri wananchi wanapaswa kuwa nayo yatakuja na wananchi watafurahi.

Huko America ipo nchi inaitwa Haiti ambayo raia wake kwa zaidi ya 90% ni Waafrica wenzetu weusi. Kwa kipindi kirefu cha uhuru wake wa miaka zaidi 200 (Haiti imepata uhuru mwaka 1804, January 1) ikiwa ni nchi ya pili kuwa huru katika America baada ya USA iliyoitangulia kwa miaka 28 tu.

Pamoja na miaka mingi ya uhuru Haiti ni moja ya nchi masikini kabisa duniani. Ikiwa ndiyo kinara wa umasikini huko America. Hii yote imesababishwa na aina ya siasa ambazo wananchi wa Haiti wamejikuta wakikabilina nazo ambazo kwa kiasi kikubwa zinaendana na siasa za sasa za serikali ya Magufuli.

Haiti ni nchi yenye demokrasia ya maneno huku serikali ikiwa busy kubinya uhuru wa raia na kufanya mambo inavyopenda na siyo kadri raia wa nchi hiyo wanavyotaka. Lakini kwa sababu raia hawana cha kufanya imebidi waishi katika hali hiyo ambayo imewasababishia umasikini na unyonge kwa miaka 214.

America walipopata uhuru walichagua kuwa na siasa ya kistaarabu yenye kuheshimu haki za raia na uhuru wa kujieleza. Haiti wao ilikuwa kinyume chake na matokeo yake leo hii nchi hizi mbili za mwanzo kupata uhuru huko America moja wanaishi kama peponi (USA) na wengine wapo jehanum(Haiti)

Yanayotokea hapa nchini leo yananifanya nione kabisa nchi yetu imeamua kuoita njia waliyopita/wanayopita Haiti. Kufail kwa Haiti imekuwa ni reference ya ujinga wa mtu mweusi. Kwamba hata ipite miaka mingapi hatuwezi kuendesha nchi ikaweza kuendelea.

Nawasihi viongozi wetu wabadilike na wakubali ukweli kuwa Watanzania siyo ng'ombe ambao wanaweza kuwaburuza kadri watakavyo. Waone umuhimu wa kuheshimu haki za raia na haki ya kuwa na mawazo tofauti. Mambo ya kusema mtu akiandamana ataenda msimulia baba yake au kuwa mtu akiandamana hata chumbani kwake watamkamata ni tabia za ki-Haiti na kama wataendelea hivyo basi wajue hata miaka 200 itapita na hakuna maendeleo yatakayokuwepo kama ilivyo Haiti.

Viongozi wetu waone aibu kusema uongo hadharani kama yule aliyesema wanaoandaa maandamano wanandaa risasi wajipige ili kuchafua sura ya nchi. Hata kama sisi Waafrica hususani Watanzania ni wajinga lakini tusinyeshe ujinga wetu hadharani kama alivyofanya yule waziri wetu leo pale Singida. Waziri yule ni Dr. anapoamua kusema uongo hadharani kama alivyosema leo basi ajaribu hata kuufanya ili uonekane ni uongo uliotolewa na mtu mwenye PhD na siyo anaongopa kama kilaza wa darasa la nne.
Uhuru walipata 1801 mkuu matetemeko na vimbunga na ukimwi soma soma soma
 
Back
Top Bottom