Haingii akilini Messi kuwa mchezeji bora!"

ENZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,248
Reaction score
1,745
Hivi Messi kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, Roben au hata huyo James Rodriguez?

Kama kuibeba timu Di maria ndio alikuwa anaibeba timu.

FIFA wamezidi upendeleo!
 
Hivi andunje kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, roben au hata huyo James Rodrigez ......... Kama kuibeba timu Di maria ndio alikua anaibeba timu.

FIFA wamezidi upendeleo!

mashabiki wa man u na anti-messi mshaanza ujinga wenu.
 
fIfa na akina blatter wapo obssessed na messi sana..this is too much..ameunderperform lakini wana mbeba tu..mtu hajaweza kufunga kwenye gemu ngumu hata moja
 
Hivi andunje kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, roben au hata huyo James Rodrigez ......... Kama kuibeba timu Di maria ndio alikua anaibeba timu.

FIFA wamezidi upendeleo!

nikusaidie tu, baadhi ya vigezo vilivyotumika, ni idadi ya magoli ya kufunga, na idadi ya pasi alizotoa kusaidia goli kufunguwa, idadi ya pasi sahihi alizotoa, n.k
 
Ni vyema ukatafuta vigezo walivyotumia kabla ya kulalamika

sema wewe ni vigezo gani vimetumika...hata iweje hawezi kufikia level za akina pele na maradona...eti mess ni zaidi ya maradona hahahha kombe la dunia hawezi kulishika mpaka mwisho wa uhai wake....best player for me is muller.
 
Wenye akili tunajua vizuri kuwa kwa hiyo Tuzo nayo ni fitna tu kumpa huyo Messi hana chochote zaidi kuna wachezaji wengi wazuri ila siyo huyo anayeweka kwasababu ya Fifa.
 
vingine inabidi ukram tu sio lazima utake kuelewa to me amestaili kawabeba sana hao ajentina mpaka hapo
 
Wenye akili tunajua vizuri kuwa kwa hiyo Tuzo nayo ni fitna tu kumpa huyo Messi hana chochote zaidi kuna wachezaji wengi wazuri ila siyo huyo anayeweka kwasababu ya Fifa.

sasa mkuu kwa ile game ya jana we unaona man of the match alistaili nanh?
 
fIfa na akina blatter wapo obssessed na messi sana..this is too much..ameunderperform lakini wana mbeba tu..mtu hajaweza kufunga kwenye gemu ngumu hata moja

Mkuu una maanisha nini unaposema ame-underpeform? Kati yq mechi 5 za Argentina before final, messi kawa man of the match kwenye game 4. Hebu clarify definition yako ya performance.
 
fIfa na akina blatter wapo obssessed na messi sana..this is too much..ameunderperform lakini wana mbeba tu..mtu hajaweza kufunga kwenye gemu ngumu hata moja

Nani amefunga kwenye gemu ngumu anayestahili kupewa ? Tatizo ni ufinyu wa uelewa tu hapo.
 
Wenye akili tunajua vizuri kuwa kwa hiyo Tuzo nayo ni fitna tu kumpa huyo Messi hana chochote zaidi kuna wachezaji wengi wazuri ila siyo huyo anayeweka kwasababu ya Fifa.

Sasa fifa ndo wamemuon yeye na ndo wamempa.ur complaints cnt change any thing wabongo.hata ktk raman ya kombe hampo.lawama tyuuuuu
 
Back
Top Bottom