Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.

Hapo ndio muone utamu wa degree! Pole b2k maana jibu la King'asti linajitosheleza. Hutohitaji kueleweshwa na member mwingine yeyote!
 
Last edited by a moderator:
ahahahhahahhahahhahha mimi love yu kwa mambo mengi!
by the way whatcha ideas on the proposal i ask ur secretary to pass?
please i do need yo inputs gal!!
 
He he he....si hata Da Sophy kasema hivyo kuwa nyama zote zina chumvi ile ile...digrii mashauzi tu

Du! haya bana, ila wamezidi sana mashauzi utakisia "Me nimekupenda una kiwango gani cha elimu" oooh me cjui nini
utasikia "Km huna diploma/ degree utakuwa hujakidhi vigezo vyangu" unabaki mdomo wazi
mme sema kweli chumbi ni ileile
 
katoka mbali aisee.......mie digrii yangu niko nayo proud sana..............

kama ni hivo wote si tungekaa majumbani tusiende shule kazi iwe moja kutunza hao waume

Nafikiri huyu dada kuna mtu mwenye digree kamdharau...............kuna kitu kiko ndani ya ujumbe kinaitaji utulie zaidi umuelewe. Pia nafikiri amejaribu kuwatahadharisha wadada wenye digirii wasibweteke kuwa waume/boyfriend zao hawawezi kutoka/kucheat na watu ambao hawajasoma/wasio na digirii...........ana point ila watu wamepanic kwa sababu kuna kaukweli flani.
 

kuna kitu watu nadhani hawajang'amua ndani ya ujumbe huu, wamemrukia meta ujumbe sababu ya namna alivyoandika.
 

tumemsikia ila ana yake majambo.........mie digrii yangu naithamin hadi keshokutwa

maisha ya kujifanya umekalia kitega uchumi siyawezi
 
tumemsikia ila ana yake majambo.........mie digrii yangu naithamin hadi keshokutwa

maisha ya kujifanya umekalia kitega uchumi siyawezi

Uko sawa kabisa......ila women they should support/challenge her point..........sasa badala yake wanarusha mawe kwa sababu tu kuna ukweli kwenye point yake......hehehehe......kaazi kweli.
 


Da sophy,

hoja zako ni za msingi sana, na zina mashiko

uzuri ni kwamba umeamua kufunguka kwa moyo mweupe kabisa,

tatizo ni namna tu unavyozitoa ndo haijakaa sawa,

ila ujumbe umewafikia hao wenye ''degree zao''
 
kuna kitu watu nadhani hawajang'amua ndani ya ujumbe huu, wamemrukia meta ujumbe sababu ya namna alivyoandika.

Ni kweli.......mleta mada atakua amedarauliwa au kadhalilishwa kisa hana digirii..........kwa hiyo wazi wakati anaandika alikua anakajazba kidogo......ila upande mwingine ni kweli kabisa ana point........wanawake wengi waliosoma si viongozi wazuri wa familia (sio wote)............wanafanya maisha yanakuwa magumu sana kwa waume zao. Kuna kijana alisema akiwa nyumbani na mke wake au hata wakitoka naye anatumia akili nyingi sana kufikiri kabla ya kuongea........... yeye na mwanamke wake wana digirii......basi jamaa ulimi ukiteleza tu kidogo mke anamuwakia... "are you serious?.......blablablabla........ basi tukiwa kilabuni tunakunywa jamaa anaongea matusi huyo...na pumba zooote unazozijua. hahahha......vijana wana kazi kweli.
 

.........hehehe, hebu #maSistahFromAnotherMother Oooo chill nawewe, kha?

Unapoteza miguvu mingi kujibu article kwa kireeefu ....

Haka kamchezo kanatumia Basic Fizikia kwenye gravity na acceleration, Baiolojia via hormones,body temp, chemical reactions etc na Hisabati za hapa na pale....bhaaaas

End results na kunogewa ni akili ya mtu tu.
 
Uko sawa kabisa......ila women they should support/challenge her point..........sasa badala yake wanarusha mawe kwa sababu tu kuna ukweli kwenye point yake......hehehehe......kaazi kweli.

tuachane nayo haya bana dakteari wangu kila mtu si anaishi maisha yake

we mzima lakin
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…