Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.

A very "big" philosophy here.....
 
tehe tehe tehe wasio degree wanatupiga bao ile mbaya!! wenye degree zenu badili mwelekeo jamani vinginevyo mmevurugwa!
 
Hahhahha

While girls our age make babies


Some of us are busy with school mamaaa' geting 'Em, degrees



Nakushauri acha kukaa vibarazani na kupiga umbea

Rudi shule
 

mi hata sijui kama nina degree au sina
hahahaaaa!! Da Sophy menichekesha mie!!
wavaa majoho na makofia na wasiovaa wote chumvi
ni ile ile!!rahaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Naona umevurugwa wewe, degree na machumvi yako n vitu viwili tofaut, kwan tatizo nn best husomek?
 
uwiii maweee
sisomi tena
 
hahaha....leo patachmbika hapa. Hagombelezewi mtu hapa, mi nshachora mstari, atakaevuka kwa mwenzie ngumi tano.
 
mama zangu...hii chungu, lakini dawa. Jitahdini kumeza mpone (kwa wale wagonjwa).
 
Sio kila mwanaume anataka ngumbaru awe kitega uchumi...Huu wakati wa utandawazi maisha kusaidiana sasa we na ungambaru wako unataka uuze maandazi au vitumbua?kwanza usilinganishe mapenzi/burudani/starehe na elimu...I am proud of my education!!!
 
.....heheh ati "ladha ya chumvi ni ile ile kwa alokuwa na digirii na asokuwa nayo!" 


Ingawa sijawahi kufanya kazi ya kuonja onja wine, sikubaliani na hiyo kauli swahiba wangu..lol!!

Ila kuna mahali kanikumbusha mbali sana...kuna mshikaji alikuwa anashangaa kusikia kuwa mtu mwenye cheo cha Professor naye anaweza kusaula nguo na kufanya kazi ya uumbaji...lol!!

Kuna mambo vidato na digrii kweli CVs huko??


Babu DC!!
 
.......Da Sophy Upoo!! Ila elimu muhimu bana, hata mume akichukuliwa

hakuna mtu atayeweza kuchukua elimu yako!! Upo hapooo!!


Duuuuuu,

Na wewe umeonekana kwa sababu ya Da Sophy??

Vibaya hivyo kupote/kupotezwa....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…