secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,554
- 44,140
Nani huyo?Ila wewe unapenda ugomvi sana
Kuna yule jamaa mwingine una muwashiaga sana moto siku akikudaka umeisha š
Nani huyo?Ila wewe unapenda ugomvi sana
Kuna yule jamaa mwingine una muwashiaga sana moto siku akikudaka umeisha š
GNani huyo?
ššJF kuna kila aina ya watu, kwa iyo wewe mtreat mtu namna anavyokuja. š
Heshimu anaekuheshimu n.k
Kuna watu humu waga wanafikiri JF ni yao, wameiasisi wao na wapo pia wale wanaojiona bora kuliko wenzao, kiuchumi, kielimu, kuishi ulaya na marekani na n.k.
JF uwanja wa fujo. š
Huyo achana naye.
Niko pale ššš šHii nimeipenda na kuanzia leo naanza kuifanyaia kazi.
Sitatukana tena. Naapa.Niko pale ššš š
JF kuna kila aina ya watu, kwa iyo wewe mtreat mtu namna anavyokuja. š
Heshimu anaekuheshimu n.k
Kuna watu humu waga wanafikiri JF ni yao, wameiasisi wao na wapo pia wale wanaojiona bora kuliko wenzao, kiuchumi, kielimu, kuishi ulaya na marekani na n.k.
JF uwanja wa fujo. š
Jamaa Busu la Kenge kisa kuishi Ulaya anaona kamaliza kila kitu kama anaishi Mars, full of ego
Hamna nimeona niazishe huu uzi maana mabifu na kuvimbiana yamekidhiri sana humuImeanzishwa kimkakati baada ya kuiona Ijumaa.
Jamaa wanajionaga wao ni binadamu "First Class" .
Hongera!kakaSitatukana tena. Naapa.
Ni kwelInaweza kutokuwa sahihi lakini kumbuka humu kila mtu ana akili zake.
šHongera!kaka
Sio wote bwashee,mbona mimi sijioni kwenye hiyo class?Jamaa wanajionaga wao ni binadamu "First Class" . š