Hakika ww ni miongoni mwa watu waliolaaniwa na watanzania,watu tunajadili mambo ya maana ww unaleta uselamavi ww choko vipi acha kutumika nyamapori ww.
Yakhe mbona matusi yamekuwa mengi?
Chama
Gongo la mboto DSM
Hakika ww ni miongoni mwa watu waliolaaniwa na watanzania,watu tunajadili mambo ya maana ww unaleta uselamavi ww choko vipi acha kutumika nyamapori ww.
Kila siku tutakuwa tunajibu vitu vilevile mbona nyie makamanda akili zenu zimekuwa pungufu kiasi? Yaani yamekuwa yaleyale ya babu tukilala EPA tukiamka EPA anasahau kuwa mmoja wa viongozi wenzake ni wakili mwandamizi kwenye kesi za EPA; njooni na mpya; mnataka mpaka tembo wetu watoe ushahidi kwamba mh.Kinana sio jangili ndio muamini?
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chama.
Hebu rudisha akili yako kwenye mstari.
Uliyo ita mapungufu ya Dr Slaa yameathiri vipi mada iliyooko mezani?!
Mnatupuuza ili muendelee kuuza pembe za ndovu siyo? lakini hayo yana mwisho
Umesema "Dawa ya mpuuzi ni kuwa wapuuza" nadhani kwa hoja mnazoleta kwenye huu uzi nyie mnapaswa kupuuzwa lakini kwa vile hekima za wachangiaji zimetawala na kutambua kuwa hakuna upuuzi ulio kuwa upuuzi mtupu bila kuhitaji kiwango kidogo cha stara na hekima wanajitahidi kuwarejesha kwenye mstari ili mjadili hoja.
Haya acheni upuuzi wenu rudini kwenye hoja, hoja inayo husu haiba ya kinana na ccm. Mmesikia basi la mtei limetaifishwa kwa amri ya mahakama baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha wahamiaji haramu. Vipi kuhusu Kinana ambaye amekiri kuwa kampuni niya kwake na kampuni hiyo hiyo ndio imekamatwa na nyara za taifa ambazo hata sheria za kimataifa zinakataza usafirishaji na uuzaji wa nyara hizo?!
Hakika ww ni miongoni mwa watu waliolaaniwa na watanzania,watu tunajadili mambo ya maana ww unaleta uselamavi ww choko vipi acha kutumika nyamapori ww.
Acha upimbi jifunze taratibu za usafirishaji kutumia wakala; hata ukienda FEDEX; DHL mwenye mzigo ndiye anaye declare nini anatuma wakala kazi yake ni kusafirisha na hicho ndicho kilichofanyika.
Chama
Gongo la mboto DSM
Pimbi ni yule anayejaribu kumsafisha jangiri huku akijuwa kuwa jangiri hasafishiki isipokuwa ni kufungwa jela tu.
Tatizo lako kubwa ni kelele huna uwezo wa kuziweka pembe mikononi mwa Kinana umeamua kwa makusudi kujigeuza pimbi; umetawaliwa na dhana kuliko ukweli wenyewe na huo ndio upimbi wenyewe; hebu jifundishe neno hili "doubtful" ukielewa maana yake kwa kina rudi jamvini; usiongee kama chizi maarifa!
Chama
Gongo la mboto DSM
Imeandikwa na Bart Mkinga.
Hivi karibuni kampuni ambayo kati ya wamiliki wake ni-Abrahaman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM, ilihusika na usafirishaji wa pembe za ndovu kinyume na sheria za nchi, kinyume na sheria za kimataifa.
-
Vyombo vya habari viliripoti kuwa Kinana mwenyewe alikiri kuwa kampuni yake ilihusika na usafirishaji wa shehena hiyo haramu lakini kampuni haikujua kuwa shehena ile ilikuwa ya biashara haramu.
-
Kwa mtazamo mpana, kashfa hii na utetezi wa Kinana, kweli unatosha kumsafisha kiongozi mkuu huyu wa chama tawala na kashfa hii? Hivi kampuni wakala wa usafirishaji mizigo husafirisha mzigo wowote bila ya kujiridhisha kuwa mzigo unaosafirishwa ni mzigo uliotajwa kwenye nyaraka za usafirishaji? Mara nyingi katika biashara, mtoa huduma huwa na wateja wake wa muda mrefu na wale wa mara moja. Kutokana na kushamiri kwa biashara haramu ya pembe za ndovu, Je, kampuni hii ya usafirishaji wa bidhaa haramu inayomhusisha kiongozi mkubwa wa chama tawala, imesafirisha mizigo ya aina hii mara ngapi bila ya kukamatwa? Wamiliki wa mizigo hiyo haramu waliichagua kampuni ya mheshimiwa huyu kwa bahati mbaya au kulikuwa na sababu maalum ya kuichagua kampuni hii?
-
Swali jingine la kujiuliza, kumiliki kampuni inayosafirisha bidhaa haramu, japo inawezekana Kinana ni mmiliki tu wa kampuni na asiwe mtendaji wa kila siku wa shughuli za kampuni, je, hiyo pekee yake inaweza kuwa ni sababu tosha ya kumwona Mh. Kinana ana usafi wa kuongoza chama ambacho kinadai kipo kwenye hatua ya kujisafisha?
-
CCM kama chama cha siasa na chama tawala, kinapojiangalia kwenye kioo cha kujitathmini kinajiona ni chama cha namna gani, wakati viongozi wake wakuu majina yao yanatajwatajwa kwenye biashara chafu? Kwenye mambo kama haya, ndipo tunaposhangaa umakini wa CCM.
-