Haiba ya Kinana na CCM

Haiba ya Kinana na CCM

Kama hoja ni ushahidi mh. Kinana aliweka wazi pamoja ya kuwa yeye ni mmoja wa wamiliki; wao kama wakala wa kusafirisha mizigo hawahusiki kukagua mzigo hilo ni jukumu la mamlaka husika; wanaopaswa kuulizwa ni wafanyakazi wa mamlaka zinazohusika waliofanya ukaguzi wa mzigo; msafirishaji anachopatiwa ni vielelezo au documents zinazoonyesha ni vitu gani vimo ndani ya kontena; na Kinana pamoja na kuwa ni mmoja wa wamiliki yeye hausiki na daily operations za kampuni ni kitu gani hapo ambacho umeshindwa kuelewa? Siwezi kushangaa na uelewo wa vichwa vyenu si nyie ndio mnaotuhabarisha Josephine eti ni mke wakati dunia nzima inajua kama Josephine ni kimada fungeni hivyo vichwa vyenu mnapoteza muda kujadili mambo ambayo hata mtoto wa darasa la pili anayaelewa.

Chama
Gongo la mboto DSM
wewe kweli gongo la mboto.yaani matatizo ya wtu binafsi unayawekea mkazo lakini yale yanayohusu taifa unaona ni kawaida.huyo josephine anakupa taabu sana usiku na mchana
ulitaka umchukue wewe???vimada ulionao wewe huoni,?huna pointi ya kulitete hilo jambazi lenu .
 
Asijitie upofu naye ni jangili anayetakiwa kushughulikiwa km jangili mwingini, vicariously yupo liable.
 
Toka nianze kuona michango yako.. leo ndo nimeona comment yako ambayo imewakilisha ur true opinion.. Mambo mengine kuyapinga haimaanishi u ain't loyal kwa ur party..
mkuu pale kwenye walakin wa wazi tuna kubali mkuu.kwa sababu kwa hoja nzito kama hii iliotolewa hapa, ni ngumu kumtetea huyu ndugu; lakini kwa kuwa nina uhakika anapita humu jukwaani namsihi sana ujibu hoja hii ili kuweka sawa mambo.zaidi ya hapo kwa kweli hapa kutakuwa kuna tatizo tena kubwa.
 
wewe kweli gongo la mboto.yaani matatizo ya wtu binafsi unayawekea mkazo lakini yale yanayohusu taifa unaona ni kawaida.huyo josephine anakupa taabu sana usiku na mchana
ulitaka umchukue wewe???vimada ulionao wewe huoni,?huna pointi ya kulitete hilo jambazi lenu .

si ndio maana nasema makamanda mna vichwa vigumu! Hata hilo la ulezi lina maslahi kwa kitaifa liangalie kwa kina!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Watu wajinga sana,kinana hana meli alikuwa wakala wa meli,kilichokuwa ndani ya kontena wenye mamlaka ya kufungua na kukagua ni TRA,yeye anaangalia dokomenti tu,kama zimeruhusiwa basi, chandani akagui tena kwa sababu TRA wanaweka seal na wameruhusiwa kisheria.pia ufafanuzi aliutoa 2010 wakati wa kampeni, baada ya jambo hili kutiwa chumvi sana tu.leo linaibuka tena.
 
gongo la mboto dsm
rasilimali ipi iliyotumika yenye madhara kwa taifa??bora sie wenye vichwa vigumu kuliko nyie vichwa viazi.
 
Ongezeko la vibaka na machangudoa ni matokeo ya kukosa malezi kwa watoto hasa baada ya baba zao kuwakimbia huo ni mzigo mkubwa kwa taifa; kichwa sio kigumu bali ni tutusa afadhali kiazi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ccm sio tuu kuwa ni adui wa wananchi bali imekuwa adui wa wanyama kama Tembo nk.....
 
Ongezeko la vibaka na machangudoa ni matokeo ya kukosa malezi kwa watoto hasa baada ya baba zao kuwakimbia huo ni mzigo mkubwa kwa taifa; kichwa sio kigumu bali ni tutusa afadhali kiazi

Chama
Gongo la mboto DSM

Una utani na Nnape wewe nini? Au ni le mutuz?
 
Yafaa nini kuendelea kung'ang'ania kuiongoza jamii ambayo haina imani na wewe kama huna unaloficha kwenye hiyo nafasi uliyoishikilia.
 
Ongezeko la vibaka na machangudoa ni matokeo ya kukosa malezi kwa watoto hasa baada ya baba zao kuwakimbia huo ni mzigo mkubwa kwa taifa; kichwa sio kigumu bali ni tutusa afadhali kiazi

Chama
Gongo la mboto DSM

Cc Nnauye Jr, Le Baharia
 
Kama hoja ni ushahidi mh. Kinana aliweka wazi pamoja ya kuwa yeye ni mmoja wa wamiliki; wao kama wakala wa kusafirisha mizigo hawahusiki kukagua mzigo hilo ni jukumu la mamlaka husika; wanaopaswa kuulizwa ni wafanyakazi wa mamlaka zinazohusika waliofanya ukaguzi wa mzigo; msafirishaji anachopatiwa ni vielelezo au documents zinazoonyesha ni vitu gani vimo ndani ya kontena; na Kinana pamoja na kuwa ni mmoja wa wamiliki yeye hausiki na daily operations za kampuni ni kitu gani hapo ambacho umeshindwa kuelewa? Siwezi kushangaa na uelewo wa vichwa vyenu si nyie ndio mnaotuhabarisha Josephine eti ni mke wakati dunia nzima inajua kama Josephine ni kimada fungeni hivyo vichwa vyenu mnapoteza muda kujadili mambo ambayo hata mtoto wa darasa la pili anayaelewa.

Chama
Gongo la mboto DSM

swala siyo ushahidi.wala siyo kuwaleta tembo kutoka porini kuja kumtetea Kinana kama ulivyo eleza kwa sababu hata wewe mwenyewe unafaham kuwa tembo hawezi kutolewa mbugani kuja kumtetea.haya ndiyo majibu ya kisanii niliyoyasema.kama tembo wanaweza kumtolea kinana ushahidi kwa mtazamo wako wewe basi ushahidi wenyewe utakuwa ni wa kilio cha kueleza jinsi wanavyo uawa na kung'olewa meno.hoja iliyopo hapa ni kwamba ukiwamwovu mahali salama kwa mtu mwovu ni ccm.ndiyo maana kinana amekiri kuwa kampuni ni yake lakini kampuni yake hajachukuliwa hatua yoyote wakati wengine vyombo vyao vinakamatwa na kusiziwa.maadili ya uongozi yanakataa kiongozi kuwa na kampuni binafsi lakini kinana amekiri waziwazi kuwa anayokampuni na kampuni yake imefanya uharifu bado anaendelea kuwa kiongozi.swala la josephene hapa linahusika vipi wakati kinachoelezwa hapa ni kinana na meno ya tembo.ccm na uharifu ni kama mfuniko na chupa ya bia.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu.
Umeweka sawasawa kisu kwenye mfupa! Ninacho kiona hapa kuna baadhi ya ndugu zetu wanatetea tu ki ushabiki! Hili sio swala la kishabiki hata kidogo maana lina husu raslimali za taifa ambazo ni haki ya kila mtanzania kuzitetea na kuzilinda.

Mchangiaji mmoja amesema kuwa "basi la Mtei limetaifishwa kwa kubebea wahamiaji haramu" kama kubeba tu wahamiaji haramu kumepelekea basi kutaifishwa vipi kuhusu nyara ya taifa ambayo siyo tu kuwa iling'ofolewa meno yake, lakini bila shaka ili uwawa kwanza ndio meno yakanyofolewa?!

Kama mtuhumiwa amekiri kuwa kampuni niya kwake na kampuni hiyohiyo ndio ilikutwa na nyara hizo je ile antiki ya aliye kamatwa na ngozi ndio mwizi wa mnyama inaweza ku-apply bila mashaka?!

Kama ndio kwa nini hatua hazichuliwi?! Na kama sio kumefanywa jitihada za kuwaunganisha mwenye kampuni na mwenye nyara za serikali kwenye kesi ya kuhujumu uchumi na wizi wa nyara za taifa?

Hapa ushabiki ukae pembeni tujadili mustakabali wa taifa na raslimali zetu akili ya kusema tembo waitwe watoe ushahidi ni akili inayo sadifu ukame wa maono na ombwe kubwa la kimantiki ndani ya watu walio choka akili.
 
Watu wajinga sana,kinana hana meli alikuwa wakala wa meli,kilichokuwa ndani ya kontena wenye mamlaka ya kufungua na kukagua ni TRA,yeye anaangalia dokomenti tu,kama zimeruhusiwa basi, chandani akagui tena kwa sababu TRA wanaweka seal na wameruhusiwa kisheria.pia ufafanuzi aliutoa 2010 wakati wa kampeni, baada ya jambo hili kutiwa chumvi sana tu.leo linaibuka tena.

Mkuu punguza jazba.. kuita watu wajinga haisaidii.. hebu nijibu hili.. Kwenye gazeti la leo la Mwananchi kuna habari la basi la kampuni ya Mtei kutaifishwa na serikali baada ya kukutwa likiwa limebeba wahamiaji haramu.. Kama ilivyo kwa Kinana ambae (kwa mujibu wako) kazi yake ni kuangalia document kama zimeruhuciwa.. mmiliki wa basi la Mtei kazi yake kuangalia basi lake limekidhi viwango kuwa barabarani.. Hakagui kila asubuhi abiria gani wamepanda au.. Sasa kwanini yeye mmiliki wa Mtei bus services ataifishwe basi lake..? Huoni maamuzi mawili tofauti kwa keci mbili zinazofanana..?
 
mkuu pale kwenye walakin wa wazi tuna kubali mkuu.kwa sababu kwa hoja nzito kama hii iliotolewa hapa, ni ngumu kumtetea huyu ndugu; lakini kwa kuwa nina uhakika anapita humu jukwaani namsihi sana ujibu hoja hii ili kuweka sawa mambo.zaidi ya hapo kwa kweli hapa kutakuwa kuna tatizo tena kubwa.
Heri Yako wewe,I now believe you are GT,you call a spade a spade siyo Hawa kina ch....na Ri.....kucha kutetea hata ambavyo havistahili kabisa.....
 
Na aliyekuroga wewe yupo hai?

Chama
Gongo la mboto DSM
Aliyemroga you hai na Ndio maana anajitambua alishatengua uchawi wewe Wako hayuko hai angekuhurumia angalau ili ujitambue pia
 
Back
Top Bottom