Hai, Kilimanjaro: Wenyeviti 13 wa vitongoji wa CHADEMA, wamejiuzulu na kujiunga CCM

Upuuzi mtupu! Lakini pigo kwa Watanzania la wizi na ufisadi wa Trillions hulioni!!!

UZWAZWA ni mzigo mkubwa sana.
Alafu siasa zako zote ni za kebeh kweli yaan Mimi ahisi unahitaji kuchunguzwa sio kwa mihemko hii unafanya kazi gan wewe inaonekana una njaa kweli njoo nikupe shamba ulime hata mboga mboga upunguze njaa huwenda hasira zitapungua uache kulalamika
 
Hahahahaha don’t pretend you know me just because of my postings on this forum. And stop your stupid conclusions based on what you read on this forum.

Alafu siasa zako zote ni za kebeh kweli yaan Mimi ahisi unahitaji kuchunguzwa sio kwa mihemko hii unafanya kazi gan wewe inaonekana una njaa kweli njoo nikupe shamba ulime hata mboga mboga upunguze njaa huwenda hasira zitapungua uache kulalamika
 
Alafu siasa zako zote ni za kebeh kweli yaan Mimi ahisi unahitaji kuchunguzwa sio kwa mihemko hii unafanya kazi gan wewe inaonekana una njaa kweli njoo nikupe shamba ulime hata mboga mboga upunguze njaa huwenda hasira zitapungua uache kulalamika
Huyu BAK ungemfahamu ni nani ungefunga domo au key board yako usijibu. Si mtu mwenye mahitaji kama wewe, si mtu wa kujikomba. Mtaongea saana ila mjue watu wanajua tunaishi kwa kurudi nyuma. Tulioishi miaka ya 70 tunajua kinachoendelea na soon mtalia wote. Wewe kalime BAK ana kazi na mshahara wa kujitosheleza na anaishi nchi inayojitambua. Mtu yeyote anayefanya kazi UN ujue anajitambua.
 
Jimbo la MBOWE latikiswa Tena, Wenyeviti 13 wa vitongoji wanaotokana na chadema wamejiuzulu Nyadhifa zao na kujiunga na Ccm.

Sababu wanayotaja ni kukubaliana na kazi kubwa za heshima zinazofanywa na serkali hii na kuwa yale waliyoyataka sasa yamafanyika hivyo wanaungana na upande unasema na kutenda.
View attachment 1074935View attachment 1074971
Wananchi wao wameshaongezewa mishahara?

GOOD
 
Huyu BAK ungemfahamu ni nani ungefunga domo au key board yako usijibu. Si mtu mwenye mahitaji kama wewe, si mtu wa kujikomba. Mtaongea saana ila mjue watu wanajua tunaishi kwa kurudi nyuma. Tulioishi miaka ya 70 tunajua kinachoendelea na soon mtalia wote. Wewe kalime BAK ana kazi na mshahara wa kujitosheleza na anaishi nchi inayojitambua. Mtu yeyote anayefanya kazi UN ujue anajitambua.
Angekuwa anafanya kazi UN angilalamika kila siku Uchumi umishuka nahic angitulia tu ili aendelee kula mshahara ajenge shavu
 
Huyu BAK ungemfahamu ni nani ungefunga domo au key board yako usijibu. Si mtu mwenye mahitaji kama wewe, si mtu wa kujikomba. Mtaongea saana ila mjue watu wanajua tunaishi kwa kurudi nyuma. Tulioishi miaka ya 70 tunajua kinachoendelea na soon mtalia wote. Wewe kalime BAK ana kazi na mshahara wa kujitosheleza na anaishi nchi inayojitambua. Mtu yeyote anayefanya kazi UN ujue anajitambua.
Ni paparazi raia mwema
 
Back
Top Bottom