Hai, Kilimanjaro: Wenyeviti 13 wa vitongoji wa CHADEMA, wamejiuzulu na kujiunga CCM

Upuuzi mtupu! Lakini pigo kwa Watanzania la wizi na ufisadi wa Trillions hulioni!!!

UZWAZWA ni mzigo mkubwa sana.
Fungua uzi tena kuhusu hili watu waje watiririke!
hapa ninuzi wa wanachadema waliofungua macho na akili kutoka upofuni.
 
Ole Sabaya ana siasa za kipuzi sana. Huenda alishawahi kuwa na michezo ile haramu. Kwahiyo hao watapitishwa kugombea moja kwa moja?
 
Kamongo mwingine anayedhani kujiunga na kubwa la majizi na mtandao wake wa majizi ni kufunguka macho! Taifa lililojaa mazumbukuku!

Fungua uzi tena kuhusu hili watu waje watiririke!
hapa ninuzi wa wanachadema waliofungua macho na akili kutoka upofuni.
 
Chadema si Mbowe na Chadema iko mioyoni mwa Watanzania. Mtatabiri sana kifo cha Chadema but I assure you that Chadema is here to stay whether you like it or not.

People’s Powerrrrrrrrrrrr ✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾

Mi nilishawahi kusema hapa. Mbowe asipoangalia chama kitamfia mikononi mwake.
 
Huyo tapeli sugu ndio anafikiria kuwahonga hao kutasaidia ccm kupendwa,yani huyo dc wa hai badala ya kufanya kazi yeye anafanya siasa
 
Wenyeviti 13 wa vitongoji wanaotokana na CHADEMA, wamejiuzulu Nyadhifa zao na kujiunga na CCM. Sababu wanayotaja ni kukubaliana na kazi kubwa za heshima...

1075365


1075366
 

Attachments

  • 1555627765548.png
    1555627765548.png
    40.1 KB · Views: 15
  • 1555628005312.png
    1555628005312.png
    63.1 KB · Views: 15
  • 1555628035858.png
    1555628035858.png
    63.1 KB · Views: 14
  • 1555628115962.png
    1555628115962.png
    40.1 KB · Views: 15
Mkuu,

With all due respect. hivi unafikiri mwanakijiji wa Hai au Mbinga anaelewa hayo uliyosema kweli?
Wana haki kabisa ya kuhamia ccm, tena ni kama wamechelewa. Ila ukweli wa uchumi wetu tunauona vizuri sisi wananchi pamoja na uminywaji wa habari.
 
Bora wamehama labda bei ya sembe nayo itashuka bei.
Sio sembe tuu, hata watoto wao waliowasonesha kwa shida sasa wamepata ajira, huduma ya afya imekuwa bora zaidi kuliko awali, ndugu na jamaa zao walio na ajira serikalini wanapata increments kwenye mishahara yao na uwezo wa kununua bidhaa umeongezeka kwa watanzania ( purchasing power).
Hakika toka awamu ya tano iingie madarakani mafanikio ya kimaisha kwa watu ni ya kupigiwa mfano duniani. Kwa nini wenyeviti wa mitaa Hai wasiunge mkono juhudi (huku sura zao zina hofu)?
Hata mie baada ya kusikia serikali imegoma kuitangaza ripoti ya IMF najipanga kuunga mkono juhudi.
 
Wtz wa hai labda
Chadema si Mbowe na Chadema iko mioyoni mwa Watanzania. Mtatabiri sana kifo cha Chadema but I assure you that Chadema is here to stay whether you like it or not.

People’s Powerrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom