Hahahaaa

Eeeuuu uuhioo?? Wathekanii??

Shigha nikuvwire, wakati nasoma lomwe kuna mwanafunzi mmoja akaandikiwa kwenye daftari lake na Mwalimu, see me. Yeye akachukua peni akaongezea O pale kwenye me na ikawa inasomeka See Meo...... hehehehehee

Nakutii wamanya chathuu ...!!?? Hehehehehehe
 
Hahahahahhaaa yaani huwa nacheka mwanzo mwisho, as my avatar and signature says....... natabasamu bin kucheka muda wote.
Ila sio katuni za Ben ten noop hii ya dot com. Zile za enzi zetu kina bugs bunny and daffy.
Tin tin
Power puff girls
The musk
Tazmania
Scobie doo
Road runner
Nyingine nimesahau majina.
Top cat?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom