Civilian Person
Member
- Oct 4, 2021
- 8
- 2
Kuna jamaa wanaongea chenga sana huku, eti wametolewa Bikra uzeeni hahahaaa
Vijana wa mikoani sio watu wazuri kabisa hahaaaWalidai Eti hapa Tanzania kuna shida kubwa tatu umeme,maji na kuwafunga wao,naomba mkuu wa mbeya atangaze kesho ni siku ya mapumziko.daah tumepata tabu sana sasa tutapumzika