Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,017
Ahahahaaaa.... Sasa ukute ndo kwanza umeingia mjini na hulitaki jina lako... kama Nyangema na 2pac.... unaanza kusisistiza kuwaa unaitwa MJ = Mwanahamis Jongo...Picha ya nini? Mtambuzi anandaa event december MWANAHAMISI HUSSEIN ALLY JONGO natinga pale LIVE!!!!!!! in HD picha inaweza kuwa ya 1920's nikiwa kijana! Bora unione LIVE mjukuu wangu.
even tho u r from matitu water, let them nock hard, bt i won't stop loving u till ze finito and last beat ov my heaaaaaaaaaart!!!Nothing to be sorry about! The pleasure is surely mine kwa wewe kuniexpose! I can never thank you enough!
kweli kabisa ? basi ngoja nimwambie moderator aifungue! unajua ID yangu imegawanyika katika department haswaa! kila kipengele kina meneja wake! lol..
Unakaribishwa kabisa honey.
natamani nikuone full SMILEahaaa ngoja nikugoogle kwanza na wewe? nimekumiss wewe ! hadi naumwa
Huku kutumia majina bandia huku... ET Smile, kumbe ukim-google unakutana na kitu cha MWAJUMA NDALA NDEFU
natamani nikuone full SMILE