Si zipo ndomu za kike?
Vaeni za kike
wanaume tumeingia kunogesha mjadala
mi nikivaa tu linasinyaa nikivua tu linasimama!
Oh nikitumia nachelewa kufika mlimani!!!!
Wengine utawasikia "I cannot come on this"!
wanaume tumeingia kunogesha mjadala
mi nikivaa tu linasinyaa nikivua tu linasimama!
Hamuishiwi sababu, hapo inasinyaa kwa sababu tayari ulisha set mind yako kua utamu unapatikana bila kondomu.
Linini hilo Tilly C? Maana ulivyolitukuza!!!
na mumenogesha kweliiiii. Safi sana mkuu.
Ehee? Kwa hiyo sasa na hali hiyo una wapenzi wangapi?
Hivi ndomu hakuna size tofauti? (kama viatu)...Wengine zinawanyima raha utakutia condom inaishia nusu tu, ukinanihii ukitoa inabaki ndani !!:glasses-nerdy:
Hivi ndomu hakuna size tofauti? (kama viatu)...
Mkuu zipo sema ukubwa au udogo unaendana jiografia ya mahali.. Kwa mfano condoms zinazotengenezwa kwa matumizi ya Japan na China ukizileta bongo hata watoto wa miaka mitano zitakuwa zinawabana.. Jamaa wana maumbile madogo (height & length i mean)..