Wanaanzaga na sina. Lol
mi nawaambiaga mademu, tukitumia tutanasa
Saa hivi wanasuaji wapo wa kumwaga kwa hio inabidi ubadili mbinu.
wanasuaji hawakunasui hivihivi, hadi wakuonje na wewe
wanasingiziaga vingi mfano,
1 Kondom nikivaa inanibana,
2 Inaniumiza, na kuniwasha
3. Nachelewa sana kufika kileleni
4. Sipati test nzuri
5.
6
7.
8
100.
What are some of silly excuses that MEN give for not wearing condoms? Teh heee
C na nyie mbebe ama?
huwenda hamna mwanamke aliyekutana na sababu zangu ndio maana nimewasaidiaBujibuji hujasoma heading eeh! Macho ya wanaume hayaruhusiwi huku.
Hata ukibeba kama ana silly excuses bado hatakosa cha kukuambia,
wanaume tumeingia kunogesha mjadala
mi nikivaa tu linasinyaa nikivua tu linasimama!