Hadithi za Mama na Mwana hizi hapa

Hadithi za Mama na Mwana hizi hapa

Mkuu mbona siwezi ku serve hii hadithi kwenye komputer yangu? Tafadhali nisaidie..
 
Vitu km Darabe Mpiga Mbio, Kibibi Jitu,
Hadithi ya kina Chema , Ateyo na Mjusi mkubwa aitwae Shuweya.
 
Kwa wanao kumbuka enzi hizooo,

Hadithi ya Binti Chura Sehemu ya Kwanza
PodOmatic | Best Free Podcasts

Hizi kitu hazipatikani kwenye aina nyingine ya player maana kwangu imegoma ku play...

Mkuu kama na ile michezo ya Redio ya kina Majuto,Mzee Jongo,Mama Aambiliki,Kipara na wengineo.
Mchezo wa Majuto ni Mkuu,Radhi ya Mke nilikuwa napenda sana sauti ya Mwarabu mwenye Hotel majuzi juzi nimeusikia TBC radio nikaenjoy sana nikipata mp3 nitafurahi sana...
 
Wakuu natafuta hadithi ya ua jekundu na bi debora mwenda asee enzi hizp balaa kipindi kinaanza saa 8 kamili jmosi na kurudiwa j3 nafiki saa 11 jion

Mwenye hyo hadithi ya ua jekundu plz aiweke hapa, vijana wa sasa hawajui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom