Hadithi za Mama na Mwana hizi hapa

Hadithi za Mama na Mwana hizi hapa

clean.gif

Mfalme Kigongo
http://hadithihadithi.podomatic.com/entry/eg/2006-12-30T14_26_33-08_00
 
Chusa na Nyoka Shingoni

Hadithi ya Chusa na Nyoka Shingoni ni mojawapo ya Hadithi za Mama na Mwana toka Radio Tanzania. Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.
 
Asante sana kwa maana kweli zimetungumbusha enzi zetu. kwa wale walikuwa wanapenda kipindi cha mama na mwana.

lakini hizi ni vionjo tu maana hazijakamilika sasa mtu akitaka kupata nakala zote au full episode anafanyaje?

nifahamishe tafadhali.

Nitajaribu kuwasiliana na RTD na kuona kma watatoa ruhusa.

Asante Mkuu
 
asante sana maxshimba umenikumbusha mbali sana nakumbuka maisha kipindi hicho loh sometimez no umeme ..kama Battery za redio zimeisha tunaanika ili tusikilize mama na mwana
 
Kipindi kile sijui alikuwa ni mama Debora mwenda na nani yule wakitusimulia Ua jekundu
tunatoka mbali sana
 
Sungura na Mama mwenye shamba

Karibuni tena katika kipindi chetu cha Hadithi Hadithi. Leo tumewatayarishia hadithi ya Sungura na Mama mwenye shamba.
Katika kabila la Kirimi, Sungura anatambulika kama mnyama mjanja na mwenye mbinu za kuweza kujitoa katika matatizo mbalimbali na wakati mwingine huweza kuwasaidia watu wenye matatizo kwa kutumia ujanja wake.
Hii ni moja ya hadithi tulizosimuliwa tukiwa watoto.
 
thanks MS
unatukumbusha mbali sana maisha yanasonga hehehe
nice weekend to u
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom