Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Sasa best mie siongelei kudeka...point yangu ndo hiyo naingelea mwanaume anayejidekeza kwa mkewe...unajidekezaje sasa na majukumu ndo haya hapa mbele yetu..ww hata kutatua vichangamoto vyepesi huwez..lol
Point yako ww kwamba mwanaume unayempenda ni yule ambae kila ukisema kitu aseme ndio hata kama sina nikuambie subili takupa sisi wengine kama nyekundu ni nyekundu tu SINA umenikumbusha kuna mwanamke mmoja nilikua nae yan yy akikuomba kitu umpe kwa wakat usiseme sina umenuniwa nikapiga chini nikaanza kupokea SMS za vijembe mm sijui kutunza watoto wazur nikasema sawa bora uniambie unajiuza nijue moja tu
 
Sema dada yangu,hizo sindano zako zinauma sana japo zinaponya,,,,,,ukweli unaouma wanaume tunajilegeza sana
Zinakuuma ww mkuu sisi wengine maskin jeuri huna sema sina hawa viumbe watakufiris utachekwa mtaan ukiwa na aibu eti baby ataniacha
 
Wanaume wenzako wamenielewa......una utoto bado
 
Ndo kinachomaanishwa mkuu,sasa sijui yeye akili zake na pesa zake atazitumia wapi kama kila kitu unafanya wewe😀😀
 
Ukitaka uelewe haya mambo usiweke mawazo kwamba kila kitu ni hela, kwamba kila changamoto inatatuliwa kwa hela
Babu zetu walikua hawa na hela lakini walikua na wake hadi 12 na kila mke ndo analima chakula cha kujilisha na kulisha wanae kwasababu walikua na uwezo/akili ya kuwamudu

Sad to say wanaume wengi siku hizi tumeyumba
 
Mama ana ishu kubwa lakini kashindwa kusomesha mwanae sekondari haya sawa,
Baba ake mwalimu wa sekondari halafu mkwe wake kasisitiza anyimwe nauli ili asiende shuleni kwa mwanae🤔,kwani hiyo shule iko ulaya ama china mkuu,mpaka kipato cha mwalimu kisitoshe kupata nauli?😀😀

Haya kama ni ya kweli basi huyo mama mwenye ishu kubwa na kujiweza atakuwa na ugoro kichwani,hizo hela anatafuta za nini sasa?
 
hiyo ajali ilitokea karatu??
ilihusisha coast line??
 
Hawa viumbe siwaelewi kabisa ukiwa na kitambi watasema hawatak ukiwa na six pack utaambiwa haupo romantic unatumia nguvu
Me nilijifunza kitu kutokana na mahusiano yangu na yule Mywangu sasa hivi natembea kifua mbele wala hata hawanipi shida kabisa.
 
Sio zote utatatua kwa hela lakini nyingi zinahitaji hela mkuu,hela siku hizi ndo kila kitu usipokuwa na hela utakimbia familia ama utakufa na stress,make hata wanawake wa siku hizi ni miiba mikali,wajuaji mpaka wanaboa
 
Huoni aibu umezaa lakini had watoto usomeshewe ukweni? Mie kama kakangu itankfi tukuweke chini..has unasaidiwa na ww ujiongezenhata kutoa nauli ya mtoto holaaa..leo unataka ukaione shulrnhuna hata nauli..kaa ndani tu
 
Kwahy ww ndugu kila anachokuambia demu wako unasema ndio acha kuwatetea hawa viumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…