Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Inaendelea

Turudi nyuma kidogo mwaka huo huo kwenye Mwez wa pili hivi siku hyo nilkua ndo nimemaliza kufika church ( nilikua nachelewa kanisani) sasa nikawa nipo tu nje nasubir Lesoni iishe niingie kwenye Ibada kuu....Kuna Manzi ilikuja siku nayo ilikua imechelewa tu kama Mimi.

Niligundua ni mgeni maana sikuwai kumuona kabla, basi ilitupita tulipokuwa tumesimama me na rafiki zangu nikampa hi akujibu akapitiliza mpk ndan ya kanisa...kama vijana tulibaki tunammezea huku tukijiuliza katokea wapi?

Muda wa ibada ulifika tukaingia kusali na baada ya ibada kuisha tulitoka me nilimuwai manzi ili nimuombe no zake lakin nilikuta yupo na sister mmoja hivi huwa ni rafiki angu na Mzee mmoja hvi ana pesa chafu..Kumbe yule mzee alikua ni Baba ake na yule sister ni dada ake..walipanda gari lao wakasepa zao me nikarud ndan kusikiliza matangazo ya Kwaya...

Mchana nilirud church kwa ajili ya vipind vya mchana..yule manzi hakurudi ila alirud Dady ake na sister ake....nilipiga stor na huyo sister nikawa namuulizia yule manzi..alinambia huwa anajikuta sana yule manzi ingawa ni mdogo wake nikamuomba no zake akanipa ( ila alinambia nisimtaje kama yeye ndo kanipa no zake...nikamwambia me hyo tabia sina )...nilimtumia text "mambo" duh...kuna Mademu huwa wanajikuta sana huyu nae ni miongoni mwao...aliniuliza me ni nani na nimetoa wap no zakee na shida yangu ni nini?....nikajibu tu swali la me ni nani...

Nilikua najipendekeza kutuma text hata tuonane tufahamiane ila alikua ananirusha tu mara anasema ana boy wake wakat hata sijamtongoza..alinikera nikamtema na no nikafuta.

Muda ulipita kidogo nikawa nishanunua Ps zangu na biashara nikawa nimefunga tayari ps zipo gheto for fun....kuna siku nilikua naangalia Futuhi text ikaingia whatsapp ( nilikua na kisimu cha Nikia Asha 210 kabla cjanunua smartphone kwa yule muhuni alie niuzia tecno.kilikua kina support whatsapp kabla hakijafungiwa kutumia ).niliona no ilikua ngeni kuchek picha naona ni vimaua...niliuliza nani akanambia Ney ( hyo ni nickname yake)

Niliacha na kuangalia futuhi nikaenda chumban kwangu kwanza nili nichat vizr.tulichat sana yaan alikua amechangamka siku hyo nilimuuliza " mbn una furaha leo akasema kanikumbuka tu...nikaomba anitumie picha akasema kesho asubui atanitumia...Tulichat na sikumtongoza kabisa huyo manzi....

Kesho ilifika asubui tu kuwasha simu text ikaingia whatsapp ilikua ni picha imeshatumwa kitambo tu...ni kapicha ka nusu uchi....weee sikuamin nilimtumia text kumpa sifa zake..akawa anataka kunipigia video call sema simu yangu ndo ilikua haina front camera ko mishe ikafeli..

Nilimshawishi anitumie picha nyingne akasema baadae na kweli siku nilitumiwa picha za kutosha za uchi..mpk nikazipigia nyeto picha niliziamisha kwenye simu ya jamaa angu mmoja hivi ( teacher wangu wa Piano ) me kisimu changu storage ilikua uongo...

Nilimuomba show akaniambia j4 ndo atakuja ni mgonge. Na kweli jnne ilikua mbali lkn ilifika akanambia nikamfate maeneo Veta ( Ney kwao ilikua ni Majengo Mapya pakishua kinoma )..alikua kapendeza hatare nilijskia fahari kummiliki...nilimleta mpk home akavunga kula msosi nikasema sawa....Demu ni mrembo asee mtoto wa kinyaturu nilimfaidi siku hyo..ikawa ni dozi kumla mpaka alivyosepa msoma.

Turudi tena tulipoishia.....

Siku hyo nilikua nimekata tamaa kabisa ya kupata hela niliumia me kukosa hela nikasema " anyway "....niliamua nilale tu, tena siki hyo nililala chumbani mwa Mzee ( ilikua mchana )...nilianza kupitiwa na usingiz..lakin uliisha ghafla pale alipoingia mdogo wangu na kunitaka nimfuate ( alikua kavaa nguo za shule )..nilimuliza kuna nini lkn yeye alinitaka nimfuate tu..alinipeleka kwenye chumba cha wazazi wake na yule jamaa ( kama mnakumbuka walikua na vyumba viwili )...Jinsi dogo alivyoingia sikujua maana funguo nilikua nazo mimi...

Tulifika chumbani mule na kunipeleka mpk sehem kuliyokua na kapui la nguo chafu...hapo ninawaza dogo kaona nini au ameona bastora au Tunguri ...alifunua ule mfuniko wa kapu akatoa suruali moja hivi ilikua imeviringishwa.Nikaona kibunda cha pesa nyingi hatari..nilibaki namtazama dogo kwa kumtafakari asee cjui alijuaje kama kuna hela pale..

Nilisema asantee Mungu na kuchukua 100k ya fasta fasta, dogo yeye alichukua 50k.....niliumia sana kwa nilichkua nafanya kilikua sio kizur hata kidogo lakin nitafanyaje sasa na hku pesa naitaka..nilimuona dogo ni Hero kwangu.

Kitendo kile kilikua ni cha haraka balaa hata dogo langu mwingine yeye alikua hajui matukio yetu...nilichukua hyo hela jioni ilipofika nikaenda zoezi nilitoa hela siku hyo kwa masifa kama yote ....hela nyingine nilikuwa naitumia kwa fujo.

Ikawa sasa ni kawaida yangu kuingia kile chumba na kujichotea zile hela kidogokidogo...matumizi yake sasa yalikua hayana hata maana...Manzi angu ( yule nilie kutana nae church kipindi chs nyuma ) ndo alifaidi..nilikua nikienda town lazima nimnulilie nguo,tukikutana pesa lazima nimpe ( yaan niliona maisha nimeyapatia kweli,)....nilinunua kitanda na godoro 5 kwa 6 nikawa nimeplan nitoke home niende kujitegemea.

Mzee alikua hata hajui kama nina hyo plan ya kusepa home...

nitarud tena kuendelea
 
Tabia za wizi huwa ni za kurith ndo maana unaweza kukuta familia imejaa majambazi na vibaka mstaarabu pekee kwenye familia ni tapeli anae tapeli kwa maneno

Hiyo familia yenu ilikua na tatizo sehemu
 
Sikubaliani na ww mkuu,mazingira ambayo mtu anakulia na watu anaokutana nao ndo kila kitu hayo mengine ni mbwembwe tu
 
Mimi ni mgeni huku musoma lakini story yako imegusa maeneo mengi sana ambayo nimeshafika pengine sijafika.
Mimi ni msabato nilivyofika hatua ya kwanza nikatafuta kanisa lilipo karibu yangu nikapapata hapa kariakoo (nyarusuliya)...

Kwa mda mfupi niliokaa huku musoma (i'm temporary teacher hapa musoma kuna shule hapa)
Nimegundua vitu vingi sana......

Madogo wengi wa huku wana dhana kwamba kuleta ukorofi au kua mkorofi ndio unaonekana kidume, yaani mtu huko na mishe zako huna hili wala lile anakuchokoza ujae then akawaite wenzake wakupige (ushamba mkubwaa )...

Huku hata kama mpira unachezwa saa 3 usiku, ukumbi mzima unakuta wana silaha za jadi, mapanga, mikuki, sime n.k wanasema ni za kujilinda duh..

Huku bado kuna miziki ya usiku haswa kwenye sherehe au harusi (hata Leo usiku kuna mziki hupo huko bweri, naona majirani zangu hawa wamezoea kuniita teacher wananoa visu na mafyekeo, wanasema wanajihami na watoto wa mbwa ).....

Nafundisha physics na mathematics (sipendagi dharau maana wanafunzi wa huku ni wakubwa kuliko mimi so sometimes wanadhani wanaweza fanya chochote tu, nachoshukuru waaosoma hayo masomo ni wachache na wanaojielewa )....

Musoma kuna joto sana kipindi hichi fursa huku ni adimu sana, watu wa huku wamejaliwa maneno ni wajuaji haswa pia usisahau kuna wachawi kinoma..

Ukiwa muhuni sana wa kuogopa basi ukitaka binti unavuta tu huku umemtishia panga..

Hii ndio musoma vijana wengi tabia za kindezi kwao ndio ujanja.
Duuh hayo maisha kwingine ilikua miaka ya 80 na 90 enzi hizo disco lazima zipigwe au mechi ikiisha fujo mji mzima mnajifungia. Hii tulifanyaga pia shuleni kantalamba miaka ya 90 watu tuliamka alfajiri sa 11 tukaenda kupiga mawe mabasi ya sumry yanayoenda mbeya kisa yalibeba team pinzani kuwaleta uwanjani ikatufunga
 
Inaendelea

Turudi nyuma kidogo mwaka huo huo kwenye Mwez wa pili hivi siku hyo nilkua ndo nimemaliza kufika church ( nilikua nachelewa kanisani) sasa nikawa nipo tu nje nasubir Lesoni iishe niingie kwenye Ibada kuu....Kuna Manzi ilikuja siku nayo ilikua imechelewa tu kama Mimi.

Niligundua ni mgeni maana sikuwai kumuona kabla, basi ilitupita tulipokuwa tumesimama me na rafiki zangu nikampa hi akujibu akapitiliza mpk ndan ya kanisa...kama vijana tulibaki tunammezea huku tukijiuliza katokea wapi?

Muda wa ibada ulifika tukaingia kusali na baada ya ibada kuisha tulitoka me nilimuwai manzi ili nimuombe no zake lakin nilikuta yupo na sister mmoja hivi huwa ni rafiki angu na Mzee mmoja hvi ana pesa chafu..Kumbe yule mzee alikua ni Baba ake na yule sister ni dada ake..walipanda gari lao wakasepa zao me nikarud ndan kusikiliza matangazo ya Kwaya...

Mchana nilirud church kwa ajili ya vipind vya mchana..yule manzi hakurudi ila alirud Dady ake na sister ake....nilipiga stor na huyo sister nikawa namuulizia yule manzi..alinambia huwa anajikuta sana yule manzi ingawa ni mdogo wake nikamuomba no zake akanipa ( ila alinambia nisimtaje kama yeye ndo kanipa no zake...nikamwambia me hyo tabia sina )...nilimtumia text "mambo" duh...kuna Mademu huwa wanajikuta sana huyu nae ni miongoni mwao...aliniuliza me ni nani na nimetoa wap no zakee na shida yangu ni nini?....nikajibu tu swali la me ni nani...

Nilikua najipendekeza kutuma text hata tuonane tufahamiane ila alikua ananirusha tu mara anasema ana boy wake wakat hata sijamtongoza..alinikera nikamtema na no nikafuta.

Muda ulipita kidogo nikawa nishanunua Ps zangu na biashara nikawa nimefunga tayari ps zipo gheto for fun....kuna siku nilikua naangalia Futuhi text ikaingia whatsapp ( nilikua na kisimu cha Nikia Asha 210 kabla cjanunua smartphone kwa yule muhuni alie niuzia tecno.kilikua kina support whatsapp kabla hakijafungiwa kutumia ).niliona no ilikua ngeni kuchek picha naona ni vimaua...niliuliza nani akanambia Ney ( hyo ni nickname yake)

Niliacha na kuangalia futuhi nikaenda chumban kwangu kwanza nili nichat vizr.tulichat sana yaan alikua amechangamka siku hyo nilimuuliza " mbn una furaha leo akasema kanikumbuka tu...nikaomba anitumie picha akasema kesho asubui atanitumia...Tulichat na sikumtongoza kabisa huyo manzi....

Kesho ilifika asubui tu kuwasha simu text ikaingia whatsapp ilikua ni picha imeshatumwa kitambo tu...ni kapicha ka nusu uchi....weee sikuamin nilimtumia text kumpa sifa zake..akawa anataka kunipigia video call sema simu yangu ndo ilikua haina front camera ko mishe ikafeli..

Nilimshawishi anitumie picha nyingne akasema baadae na kweli siku nilitumiwa picha za kutosha za uchi..mpk nikazipigia nyeto picha niliziamisha kwenye simu ya jamaa angu mmoja hivi ( teacher wangu wa Piano ) me kisimu changu storage ilikua uongo...

Nilimuomba show akaniambia j4 ndo atakuja ni mgonge. Na kweli jnne ilikua mbali lkn ilifika akanambia nikamfate maeneo Veta ( Ney kwao ilikua ni Majengo Mapya pakishua kinoma )..alikua kapendeza hatare nilijskia fahari kummiliki...nilimleta mpk home akavunga kula msosi nikasema sawa....Demu ni mrembo asee mtoto wa kinyaturu nilimfaidi siku hyo..ikawa ni dozi kumla mpaka alivyosepa msoma.

Turudi tena tulipoishia.....

Siku hyo nilikua nimekata tamaa kabisa ya kupata hela niliumia me kukosa hela nikasema " anyway "....niliamua nilale tu, tena siki hyo nililala chumbani mwa Mzee ( ilikua mchana )...nilianza kupitiwa na usingiz..lakin uliisha ghafla pale alipoingia mdogo wangu na kunitaka nimfuate ( alikua kavaa nguo za shule )..nilimuliza kuna nini lkn yeye alinitaka nimfuate tu..alinipeleka kwenye chumba cha wazazi wake na yule jamaa ( kama mnakumbuka walikua na vyumba viwili )...Jinsi dogo alivyoingia sikujua maana funguo nilikua nazo mimi...

Tulifika chumbani mule na kunipeleka mpk sehem kuliyokua na kapui la nguo chafu...hapo ninawaza dogo kaona nini au ameona bastora au Tunguri ...alifunua ule mfuniko wa kapu akatoa suruali moja hivi ilikua imeviringishwa.Nikaona kibunda cha pesa nyingi hatari..nilibaki namtazama dogo kwa kumtafakari asee cjui alijuaje kama kuna hela pale..

Nilisema asantee Mungu na kuchukua 100k ya fasta fasta, dogo yeye alichukua 50k.....niliumia sana kwa nilichkua nafanya kilikua sio kizur hata kidogo lakin nitafanyaje sasa na hku pesa naitaka..nilimuona dogo ni Hero kwangu.

Kitendo kile kilikua ni cha haraka balaa hata dogo langu mwingine yeye alikua hajui matukio yetu...nilichukua hyo hela jioni ilipofika nikaenda zoezi nilitoa hela siku hyo kwa masifa kama yote ....hela nyingine nilikuwa naitumia kwa fujo.

Ikawa sasa ni kawaida yangu kuingia kile chumba na kujichotea zile hela kidogokidogo...matumizi yake sasa yalikua hayana hata maana...Manzi angu ( yule nilie kutana nae church kipindi chs nyuma ) ndo alifaidi..nilikua nikienda town lazima nimnulilie nguo,tukikutana pesa lazima nimpe ( yaan niliona maisha nimeyapatia kweli,)....nilinunua kitanda na godoro 5 kwa 6 nikawa nimeplan nitoke home niende kujitegemea.

Mzee alikua hata hajui kama nina hyo plan ya kusepa home...

nitarud tena kuendelea
Sijaelewa huyo dem alokutumia mapicha matam ukamkula ndo hiyo pisi kali mpya ya church ulopewa namba na dadaake?
 
Back
Top Bottom