Hadithi ya kweli: Mama wa kambo

🀣 na kwanini uwe peke ako
Hii story sio poaa kabisaa Jana nilisisoma nipo ofisini heee ilibidi niache kusoma kwanza ☺️!
Yani na mood lazima ibadilike aisee! kama unacheki Porn hivi uwiiii πŸ™Œ!
Afu sijaimalizia sijui nani aliwin ile gemu!
 
Afadhali hadithi yako umemaliza mapema Kuna moja inaitwa milango ya mafanikio iliazishwa siku mama Samia anaapishwa mpaka leo haijaisha

[emoji23][emoji23][emoji23] sitaki kuchosha watu mwisho wa siku kiu ya kufwatilia inapotea
 

[emoji23][emoji23][emoji23] sitaki kuchosha watu mwisho wa siku kiu ya kufwatilia inapotea
Salute Mkuu nitag kwenye hiyo mpya Johnnie Walker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…