Hadithi ya kweli: Mama wa kambo

Hadithi ya kweli: Mama wa kambo

"Mwenzio nna kiwanja nimenunuliwa na mwanaume kaa hvo hvo uolew had mmeo afe huna hata ndoo ya maji"

Tunda aliinuka na kuingiaa ndan

"Kaa hapo hapo msikilize huyu mzee hapa"



"Mwanangu"

Mama T alimshika tunu

"Usikubali kizembe bila kujua ana mpango gan na wewe"



"Sawa mama"

Alijibu tunu



"Wewe ni tunu ya thamaan mwanangu, pesa isikubabaishe"

Alijibu mmaa T



"Anadaiwa milioni kumi na tano huyo, mdanganye hvo hvo mdanganye mwanao afungwe"

Tunda alidakia kwa ndan

"Mjaze mawazo ya kianalojia tu"



"Tunda upoje wewe?"

Tunu alilalamika



"Kataa utafute kazi, utafute pa kulala na utafute utazinya wap pesa za watu"

Tunda alijibu

"Na ada yangu"



"Mbuzi wew eti na ada yako nan akulipie ada?"

Tunu aakijibu na kumgeukia mmaaa ake

"Ulikuwa unasemaje mama?"



"Kubali mwanangu"

Mama t alijibu kwa huzuni

"Kubali kelvin ana tufanya tupumue"



"Kisa pesa?"

Aliuliza tunu

"Si umesema mimi wa thaman?"



"Sawa, ndio ila mkubali tu kwa akili"

Alisisitiza mama T

"Ukikataa utapoteza kazi"



"Mama"

Tunu alishangaa



"Acha wehu usijifanye bikra"

Tunda alitoka na kumwambia dada ake..



"Huyu yupoje?"

Tunu aliinuka na kutaka kumvaaa tunda ila mama yao alizuia

"Mama unamtetea ananitukana? Unaona mama?"



"Kwan uongo?

Aliuliz tunda



" Jamn siku ya kwanza tu hapa nyumbaan mnapigana?"

Aliuliza mama T

"Mbna hampendaan? Tunda unamwaambiaje dada ako maneno hayo?"



"Ananitus"

Alijibu tunu

"Na humkataz sililipii ada mimi msyuuu"



"Basi mwanangu"

Mmaa T alimkumbatia mwanae

"Bas hasira ziishe"



"Zinaishaaje? Zinaishaje? Mama pesa hainunui kila kitu"

Aalijibu tunu huku analia

"Haininunui mimi"



"Milion kumi na tano"

Tunda alicheka

"Aweke milion kumi na tano uende nae utakataa? Nyoo lipa pesa za watu"



"Mama unaona mama unaona?"

Aliulizaa tunu



"Tunda unaupepeta sana mdomo"

Alijibu mama T

"Hebu funga domo lako"



"Sawa"

Alijibu tunda

"Ngoja nikatafute majirani huko nje wanijue"



: **



Siku ilipita huku ugomvi kati ya tunda na tunu ukiwa ni sehemu ya maisha yao.

Siku hii kazini kama kawaida tunu na daan walikuwa wanapiga stori ofisini kwao.



Haikuwa siku nzuri maana haapakuwa na wateja wala nini.

"Boss anawaita kuna kikao cha dharyula"

Aliingia mfanyakazi mwenzao ghafla na kuuwa stori zao



Waliinuka na kutoka kwenda kwenye ukumbi wa mikutano wakajue kuna nini.

"Za saa hz boss?"

Walisalimia walikuta wenzao wameshakusanyika



"Mmetimia?"

Aliuliza kelvin



"Ndio"

Waliitikia wote



"Kwanini mauzo yameshuka sanaa?"

Kelvin aliuliza huku anawatazama kwa zamu

"Kuna nini hapa wateja hawaingii au hawapat huduma sahihi?"



Kila mtu alikuwa kimya hakuna alietia jibu swali lilikuwa gumu sana kwao.

"Mbna hamna majibu?"

Aliulizza kelvin



"MåMeneja"

Aligonga meza kwa hasira alikumbuka tunu na dan walibadilishanaa line ya simu

"Kunaa nini kinaendeelaa? Mnachat tu?"



"Aaakh boss upepo"

Alijibu dan



"Upepo mwaka jana haukuwepo? Zinapita siku mbili mme uza gar moja? Wenye mkopo hawalejeshi? Unaataka nini kama meneja huoni hilo hadi mimi boss wako?"

Aliuliza dan

"Nawauliza mameneja au mmekaa tu ofisin mnaburudika?"



"Kelv...."

Tunu alitaka kujibu



'"sitaki utetez nataka kujua tatizo na solution"

Kelvin alifoka stress za mapenzi zilimpelekesha

"Haraaka....?"



#itaendeela

Hadithi nisameheni 13

Mtunzi Vickie

Mawasiliano inbobo



"Dan unahama kitengo, utakuwa meneja wa kitengo cha masoko"

Kelvin aliinuka

"Tunu"



"What"

Dan alishtuka

"Masoko?"



"Yes"

Kelvin alijibu huku katoa macho

"Na unatakiwa ushirikiane na wenzio vizuri kutafuta wateja"



"Impossible"

Dan alichoka kaabisa



"Unaweza kuaandika barua ya kuacha kazi"

Kelvin alijibu, alivurugwa kbisa

"Tunu nifate ofisin"



Tunu aliogopa mno aliinuka na kumfata kelvin nyuma kama vile kondooo anaenda machinjioni hakuelewa kabisa



"Yan unajua huko umeshushwa cheo?"

Mfanyakazi mmoja alimsogrlra dan

"Tunu kawa meneja ppeke ake"



"Ndio ndugu yangu yan wewe umekuja kwenye masoko? Utawez kuzunguk amtaani?"

Aliuliza mwingine

"Hao wa masoko wanamaliza sori za viatu kwanza hawataki meneja maana wanajiongoza"



"Yan wewe kama umefukuzwa kazi"

Yule wa mwanzo alidakia

"Unajua masoko wanajilïpa wenyew?"
 
"Wewe ni tunu ya thamaan mwanangu, pesa isikubabaishe"

📌📌📌📌📌📌📌📌📌
 
Weee kumbe ile pale Mwisho sijaisoma nikahisi Mwisho mwisho wahusika wengine akina Tunu kelvin mama mtu walijitokeza labdaaa lol JW weekend uliianza jana niniii 😂😁????
Ahahahha juma mosi nitaleta bomo kubwa sana hiyo mtakuwa mnasoma kama dozi kila siku one page 😂
 
Weee kumbe ile pale Mwisho sijaisoma nikahisi Mwisho mwisho wahusika wengine akina Tunu kelvin mama mtu walijitokeza labdaaa lol JW weekend uliianza jana niniii 😂😁????
😀🤣🤣🤣 kweli kaanza weekend jana😀
 
Ahahahha juma mosi nitaleta bomo kubwa sana hiyo mtakuwa mnasoma kama dozi kila siku one page 😂
Haina kubisha hiiio imepitaa!!!
Tunasubiria kwahamu uzuri haunaga mbambambaa story zako ni kutupia nonstop mtu ashindwe yeye tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom