TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 12,077
- 24,444
Hiyo hadith pamoja na utoto wangu wakati huo niliweza kuona haiko sawa. Mbuzi anakunywaje maji baada ya kuliwa? maji yanazima moto baada ya kunywewa and so on......
imenikumbusha mazungumzo baada ya habari Radio Tanzani DSM miaka hiyooooo ya chama kimoja, redio moja nchi moja
Kumbe u great thinker ulianza longtime kitambo
Hiyo hadith pamoja na utoto wangu wakati huo niliweza kuona haiko sawa. Mbuzi anakunywaje maji baada ya kuliwa? maji yanazima moto baada ya kunywewa and so on......
hivi ni kalumekenge au kalumakenge?
Unashangaa hiyo je ukiletewa ya Jogoo na Pazi? Umeshawahi kumuona kuku mkubwa anayeweza kumbeba mtu kichwa chini miguu juu?Hiyo hadith pamoja na utoto wangu wakati huo niliweza kuona haiko sawa. Mbuzi anakunywaje maji baada ya kuliwa? maji yanazima moto baada ya kunywewa and so on......
That's true.Nikumbukavyo, mbuzi hakuyanywa maji baada ya kuliwa. Sultani aliombwa kumchinja mbuzi, alipotaka kuanza kumchinja, mbuzi akakubali kuyanywa maji, ... Hadi Kalumekenge akaenda shule.
Mbuzi alikunywa maji mkuu, kumbuka vizuri.Nikumbukavyo, mbuzi hakuyanywa maji baada ya kuliwa. Sultani aliombwa kumchinja mbuzi, alipotaka kuanza kumchinja, mbuzi akakubali kuyanywa maji, ... Hadi Kalumekenge akaenda shule.
Hizo hadithi zilikuwa tamu sana.Unashangaa hiyo je ukiletewa ya Jogoo na Pazi? Umeshawahi kumuona kuku mkubwa anayeweza kumbeba mtu kichwa chini miguu juu?
Maji yakakataa kuzima moto.
Baba yake akasema kwa mbuzi, waweza kuyanywa maji .....
Mbuzi akakataa!
Baba akaenda kwa Sultani.
Akamwambia, Waweza kumla mbuzi?
Sultani akabubali.
Akamla Mbuzi,
Mbuzi baada ya kuliwa akayanywa maji!
Maji baada ya kunywewa yakazima moto,
Moto baada ya kuzimwa ukachoma fimbo!
and the story goes!
Hiyo hadith pamoja na utoto wangu wakati huo niliweza kuona haiko sawa. Mbuzi anakunywaje maji baada ya kuliwa? maji yanazima moto baada ya kunywewa and so on......
Ha ha ha haaaaaaa! Nadhani nilipokuwa mtoto nilikuwa nina akili kuliko sasa, maana hiyo hadithi ilikuwa inanifikirisha sana kama ambavyo nilivyokuwa najiumiza kichwa kufikiria kabla ya Mungu kuumba dunia kulikuwa na nini! Nilikuwa mpaka nafumba macho ku-imagine kilichokuwepo na alikuwa amekaa wapi! Lol!Mkuu falsafa yako ya utotoni ilikuwa ya hali ya juu! Wenzio tuliamini na tulisoma kwa hisia kweli...
Bullcrap!Moto baada ya kuzimwa ukachoma fimbo!