Hadithi ya Bwana Ugoko na Wapangaji Wenzake.

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
609
Reaction score
1,574
Wapangaji 6 Wa nyumba moja walichanga changa na kununua bastola kujihami dhidi ya majambazi.

Makubaliano kuwa kwa kuwa bwana Ugoko yuko chumba cha karibu na mlango Wa kuingilia awe analala na bastola tayari kumkabili yeyote atakayejaribu kuwavamia

Siku bastola ilipowasili toka dukani na kutua kwa bwana Ugoko,
Ugoko aliwabadilikia wapangaji wenzake na kuwaamuru wote waweke mikono juu, akawaamuru wagaregare kwenye matope ya uwani,waruke kichurachura na vitimbi chungumzima

Waliowahi kukwaruzana naye huko nyuma na wale anaowadai waliipata "fresh".aliwasomea marufuku nyingi sana.

Hawakuruhusiwa kufungulia radio 📻 sauti ikasikika,
Kukaanga ni marufuku na sheria nyingine kibao.

Akawaapia kuwa yeye sio mtu Wa mchezo mchezo anayetaka ajaribu na aone!
Baadhi ya majirani walilalamika chini chini na wengine walimpongeza kuwa Ugoko ni kiboko.

Yamebaki na majuto na hawana namna tena cha kufanya wanasubiri labda risasi ziishe waweze kumkabili Ugoko,lakini je watawezaje kujua hilo wakati tayari Ugoko alikuwa mbele ya muda kwani amri zote alizishika yeye?
#Ugoko.
 
Ugoko alichaguwa kubadirika maana anajuwa kilichomkuta mtangulizi, wanaogaragazwa kwenye tope si wote wanasomeshwa namba baadhi

Kabla ya igizo kutamatika mateka wataficha kiatu cha ugoko ili kupima uimara wa miguu yake.
Asichokijuwa ugoko ile bastola haina risasi maana waliompa nao niwahuni hawakumuamini kwa asilimia mia.
 
Umeelewa lakini hadithi shekhee wangu?
 
Ugoko anawakilisha unyenyekevu wa mwananchi kabla hajawa mtawala.

Michango na makubaliano ni kura anazopewa ugoko kuwakilisha wenzake ili kuwalinda.

Bastola ni mamlaka na nguvu anayopewa ugoko na wananchi wenzake kwa ajili ya kujilinda yeye binafsi kwa manufaa yake binafsi si wananchi.
 
Ahahahah elewa hadithi vizuri.
 
Bwana Ugokonni balaa hii hapa habari yake kamili.

Alikuwa mtu pendwa akiwa tayari kufanya lolote kuhusu kazi na hakua na utani. Alijipenda na alipenda wenzie pia ana alifanya awezavyo ilo hata wenzake waanze kuwaza kuwa hakika yeye ni mwamba.

Tetesi za chinichini uyo bwana Ugoko alikua mfia dini, kiasi kwamba kwa mwonekano wake lazima huamini kama uyu ni mtu wa dini kwelikweli.

Baada ya kushinda dhamana ya kua yeye apewe funguo ya mlango wa mbele na geti la nyuma ambalo ni shortcut lifungwe sawasawa na funguo zote apewe yeye maana ni swala la kiusalama la nyumba.

Kumbuka kua bwana huyu alikua mtu yaani hasa roho na tabia zake huwezi kuzijua kamwe, kama ni kalata hakika alizichanga kweli kweli.

Baada ya kukabidhiwa bastora tena mbele ya wenzie kwa sauti ya upole. Yaani yeye akiwa mbele na wenzie wakitizamana. Akapoga risasi juu. Na baada ya happ akasema unajua kaka hii inaua.

Akaanza kuweka masharti.. na kila mwisho wa sharti ilikuwa lazima upige makofi, kuonyesha meno au kutabasamu kwa namna yoyote. Nyuma yake kulikua na kamera ivyo matukio hayo yalimpa sifa kubwa kwa kila alieona ile video.

Ikabaki ni vijimaneno vya chini, kwamba kuna siku na mimi nitashika iyo kitu na uyu ugoko atakoma. Izo zimekua dua tu.. ambazo bwana ugoko kaziba masikio na kuona haya maneno ni upumbavu usiokuwa na lolote.
 
🤣🤣🤣 Piga piga kichwa.
 
Dah
 
Back
Top Bottom