Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,456
- 872,092
- Thread starter
- #21
Sometimes there's emergency call..😅
Asante sana. Nimepata kitu kipyaWakati fulani, wanakijiji wote waliamua kuomba mvua. Siku ya maombi watu wote walikusanyika ila kijana mmoja tu alikuja na mwamvuli.
- Hiyo ndiyo Imani.
View attachment 2688100
Unapomtupa hewani mtoto wa mwaka mmoja, anacheka kwa sababu anajua baba yake atamshika.
Huo ndio Uaminifu
Kila usiku tunaenda kulala, hatuna uhakika wa kuamka tukiwa hai asubuhi inayofuata. lakini bado tunaweka kengele ya kesho
-Hilo ndio Tumaini
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2688101
Shukrani kaka
My alarm everyday at 6:00am [emoji19][emoji19] poor me.Wakati fulani, wanakijiji wote waliamua kuomba mvua. Siku ya maombi watu wote walikusanyika ila kijana mmoja tu alikuja na mwamvuli.
- Hiyo ndiyo Imani.
View attachment 2688100
Unapomtupa hewani mtoto wa mwaka mmoja, anacheka kwa sababu anajua baba yake atamshika.
Huo ndio Uaminifu
Kila usiku tunaenda kulala, hatuna uhakika wa kuamka tukiwa hai asubuhi inayofuata. lakini bado tunaweka kengele ya kesho
-Hilo ndio Tumaini
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2688101
My alarm everyday at 6:00am [emoji19][emoji19] poor me.