Hadithi Tatu

Hadithi Tatu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
Wakati fulani, wanakijiji wote waliamua kuomba mvua. Siku ya maombi watu wote walikusanyika ila kijana mmoja tu alikuja na mwamvuli.

- Hiyo ndiyo Imani.



6ca4426a1cc0020ec6742e07319285c3.jpg



Unapomtupa hewani mtoto wa mwaka mmoja, anacheka kwa sababu anajua baba yake atamshika.

Huo ndio Uaminifu

Kila usiku tunaenda kulala, hatuna uhakika wa kuamka tukiwa hai asubuhi inayofuata. lakini bado tunaweka kengele ya kesho

-Hilo ndio Tumaini

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2688101
 
Wakati fulani, wanakijiji wote waliamua kuomba mvua. Siku ya maombi watu wote walikusanyika ila kijana mmoja tu alikuja na mwamvuli.

- Hiyo ndiyo Imani.



View attachment 2688100


Unapomtupa hewani mtoto wa mwaka mmoja, anacheka kwa sababu anajua baba yake atamshika.

Huo ndio Uaminifu

Kila usiku tunaenda kulala, hatuna uhakika wa kuamka tukiwa hai asubuhi inayofuata. lakini bado tunaweka kengele ya kesho

-Hilo ndio Tumaini

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2688101
Fafanua umelenga nini zaidi
 
Ha ha ha....wee jamaa sio wa ulimwengu huu[emoji4]
Safari MOJA tumerejea bongo na iliyokuwa Alliance airline baada ya kukaa nje miaka miwili hivi
Sasa kwasababu ya mizigo mingi (bado tulikuwa washamba) tukapigwa fine.. Ule mchakato ulichelewesha ndege karibia dakika 20 hivi
Hivyo tulivyo clear tu ndege ikanyanyua kumbe mizigo yetu ikapakiwa kwenye Alliance nyingine ya London ambayo ingefika bongo Ijumaa na hiyo ilikuwa Jumatano
Tukatua bongo saa tatu usiku hivi na kupokea habari kuhusu mizigo yetu.. Sasa tufanyeje? Maana hatukuwa na nguo hata za kubadili.[emoji23] zote zilikuwa kwenye masanduku na mabegi

Jamaa yetu alikuwa anaishi Magomeni mtaa wa pili nyuma ya iliyokuwa Kwa macheni bar, akasema twende hapo kuna gesti nzuri kwa bei poa na panafaa sana kupunguza uzito wa vitamin zilizozidi mwilini
Na ushamba wetu tukafika pale kwenye saa tano usiku hivi, tulikuwa kama nane hivi, tukaambiwa tulipie vyumba lakini tutalala kuanzia saa saba usiku [emoji23] maana muda huo ni wa short time tuu

Nilishawahi kuona ngono inafanywa maeneo mengi ya dar lakini pale palikuwa above next level.. Yaani watu wanasubiri nje ya vyumba kama foleni ya chooni
Uchovu na ugwadu saa nane na nusu usiku hii hapa ndio tunakabidhiwa vyumba vyenye uvundo wa manii na kila aina ya uvundo
Dada wa gesti alushatuhakikishia atatuletea vitu vya uhakika kavihifadhi mahali, tukampa na chake kabisa
Akatuasa tununue na kondom kabisa na ikibidi tuzuvae kabisa maana wanaokuja ni watoto wa nyumbani waliotoroka kwao hivyo wakija tu ni kupeleka moto

Kisha akatuchomoa ten ten za kwenda kuwapa kabisa maana bila hivyo hawatoki, halafu akatutisha tusitoke nje wala kufungua milango mpaka aje yeye kwa ajili ya usalama wetu

Tukajifungia kwenye vile vyumba na ndomu zetu kwenye mitarimbo [emoji23] tayari tayari kwa kufanya ma2c! Mimi yangu ilidondoka yenyewe karibia na adhana ya pili [emoji23]
Tulitapeliwa kilofa mno, kuja kumtafuta yule dada kesho yake tukaambiwa kapata msiba wa babaake huko Kisiju[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom