benedictor
Member
- Oct 12, 2011
- 19
- 3
GOD bless u keita,
Itaanza Jumapili, itaitwa MOYO WANGU...tupia nyengine basi..
Itaanza Jumapili, itaitwa MOYO WANGU...
Mungu akupe afya na nguvu ili tuianze vyema iyo jumapili mkuu keita
Mommadou Keita nimezipata hisia zangu, asante sana na hili ni funzo kwa jamii nivyema ikachezwa picha yake itasisimua na kufundisha zaidi.