Hadithi: Mikataba ya kishetani

sana tu, mmoja akionja pili pili mwingine anaonja chumvi, mwingine akikuna nazi mwingine anaweka tui la nazi
UKIJA NA MAJI YAKO YALE WALA HAINA HAJA YA KUONJA AF NAZI UNCLE BHARE ASHATUKUNIA.
 
Mbona nimeisha jikaribisha siku nyingi kuhusu roho ya nyau na tutarudi na roho zetu nimevisoma ila nafurahi kufanya marudio ila hapo penye mikataba ya sheitwan unanimaliza kabsaa.
SIO MBAYA KUKARIBISHWA KWA MARA YA PILI MKUU... KULE KWA MONALISA ULISHAKARIBISHWA?
 
jmaji yangu nitakuja nayo lakini uwe mtaalamu wa kuyatumia ili kukiongeza ladha chakula
USIJALI JUU YA HILO.... NIKIINGIA JIKONI KILA SIKU UTAKUA UNAKUJA KULA BUNJU KWA WAJANJA 😀
 
basi utanifanya hata huku niliko kusikalike maana nimehangaika kutafuta mpishi kabambe lakini nikakosa.. Kama ww upo basi nitayarishie na malazi kabisaa
hahahaaaaaaaaa nikikutandikia je, unadhani utaamka?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…