cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,416
Shivoo jf ni nomaa mkuu.
Shiva a.k.a Master alikuwa mduwanzi kama zezeta, mara abakwe na wasichana, kupigana hajui yaani yupo tu kama zombie
Zamani vilikuwepo vitabu vya kiswahili vya picha picha za hii story,ya mfalme kimaha ha ha......jamaa zombie sana........ila ile fimbo ya kima inamsaidiaga sana........mara iwe ndogo kama sindano.....mara iwe kama nguzo.....ili mradi tu........