daaaah huyo Vanessa kabugi sana labda kama kivuli cheusi akiuwawa na hao polisi siku akitoroka jela sijui atajificha waapii? angemwacha waanze maisha mapyaa....
Mwanamke haaminiki kamwe. Usiache nafasi yoyote kujihatarisha ukitegemea mko pamoja na mwanamke. Huyu ni kiumbe hatari..toka enzi ya Hawa,Delilah, Esta.... Shughuli ya mwanamke ni uwanja wa fundi seremala, 6 × 6.
Na ndipo moses aliposhtuliwa ghafla usingizini,pembeni yake alikuwa ameketi msichana mrembo Vanessa,"vip baby?mbona ulikuwa unahangaika sana usingizini??it was a nightmare,Moses alijibu!unajua sikutegemea kama utakubali kuwa wangu na kufunga nami ndoa,kulikoni umeamka mapema hivi??vip uchovu wa arusi umeisha??