Hadithi: "Kivuli cheusi"

Hadithi: "Kivuli cheusi"

yaani haswaaaa!!!


Mimi siku ya kuzaliwa Tanzania wote walikuwa wanashereheka kuwa mtoto Mizambwa amezaliwa hivyo inakuwa ni mapumziko kunishangilia. hakuna kufanya kazi.

Siku ya ndoa yangu ni tarehe 14 october (Nyerere Day) hivyo Watanzania pia wanapumzika.


Sasa nina hofu kifo changu itakuwa siku ya Ijumaa kuu Dunia nzima wanaomboleza Mizambwa amekufa.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

haha.. umetisha.
 
Imenisikitisha sana kuandika hadithi yangu na kufanya kama yako huku ukijinadi na kupokea sifa kama vile ni yako. Ukipenda hadithi ns unataka upost jaribu kutoa credit kwa waandishi walioandika ili kutoa heshima na kuthamini walichokifanya. Idiot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom