hadithi hadithi!!!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,254
12,872
ngoja niwasimulie hadithi, hadithi hadithi . . . . . .
hapo zaman za kale palikuwepo simba na chui. basi walikuwa marafiki kweli
hebu endeleza. . . . .
 
Siku moja simba akakosa chakula akataka kumla chui....hapo uadui ukaanza...
Ingawa sijawahi kusikia simba na chui ni maadui km ulivyo kwa simba na nyati
 
Siku moja chui na Simba walipanga kwenda kuwinda pamoja,lakini Simba alipopata mnyama.akagoma kula na Chui.tokea hapo chui na Simba wakawa wanawinda kitofauti hadi leo.
 
enzi zile za babu na bibi. imeshakuwa ya kale dhahabu umsikilishe nani hadithi badala ya kwenda fb,jf, tv na kwingineko.
 
yan watoto wa cku hz hawafaidi hadithi, enz zetu ukienda kwa bibi au bibi akija kuwatembelea mtasimuliwa hadithi mara ya sisimiz kamuua tembo,sungura mjanja, nyoka na siafu bt watoto wa çku hz wanawaza games tu,kwenda beach,kwenda funspot quality center na wengne ukitaka kuwasimulia hadith wanakuuliza hadith ndo nini?
 
Basi Simba alipofika pale akakutana na mdada Charminglady akataka kummeza......
 
Basi Simba alipofika pale akakutana na mdada Charminglady akataka kummeza......

Basi Charminglady akaanza kulia akalia akatokea Chipanziii kumsaidia..
Basi umati wa watu ukaibuka ....

..Tunakuja na hadithi ya Ua Jekundu.:A S-rose:
 
....Baada ya miaka mingi ya urafiki wao, Simba na Chui wakasafiri safari ndefu kutafuta chakula. wakaendaaaa, wakaenda wakaenda wakaenda weeeeee! nakwambia wakaendaaaaaaaaaa! mpaka leo hawajarudi wametokomea msituni. Hadithi imeisha inatufundisha kuwa wavumilivu ktk kutafuta. LOL!!!
 
Back
Top Bottom