Hadi zianze kuvuja na video ndo tufute viti maalum bungeni?

Chama cha maibilisi , ukizoea kura nyama ya mtu hautaacha by baba wa taifa J K Nyerere yaani ccm sio kupora tu uchaguzi , kuiba kura mi mpaka kupora na kuiba waume za watu hadharani .
 
Vuti maalum bado vinahitajia hasa kwa nchui yenye mfumo dume uliokubuhu kama Tanzania. Ila taratibu za kupata wabunge wa viti maalumu inabidi ziboreshwe sana. Taratibu hizo ndizo zinazosababisha hisia zako. Mtu kama Catherine Magige huenda siyo wa aina ya viti maalumu. Nimetaja jina hilo kwa vile alijiingiza kwenye headlines majuzi., lakini wapo wengine kadhaa wa aina yake hana sifa za kuwa viti maalum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…