Nahisi ni bora ikawepo sehemu tete ambayo wakuu watakuwa wanaweza kutuwekea pale ambapo weshapata uhakika wa kiti kunyakuliwa na chama flani kuliko nionavyo ,mio hadi sasa cjui Chadema wamechukua viti vingapi wala CCM kwani nina huzuni kwa wizi uliofanywa huko Zanziibar hata Shein amekiri na nimemsikia Kinana nae akikiri kwa kusema CCM haikushinda ila walioshinda ni WaZanzibari kauli inayoashiria kuwa kuna tendo kwani CCM wakishinda huwa wanasema wameshinda CCM ,inatosha. Hivyo ni bora ikiwa mtu anauelewa wa uelewa mzuri wa viti vinavyonyakuliwa kiidadi ni bora ,ili hata kama mtu akisinzia atajua wapi akapate total ,ni hayo,nawasilisha hoja.