Elections 2010 Hadi sasa Viti vya Ubunge kwa Vyama :-

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Paste Update please:-Hadi sasa ....!

Chadema viti vya Ubunge ----------- ??
CCM viti vya Ubunge ----------- ??
CUF viti vya Ubunge ----------- ??

Viti vya ubunge Tz nzima------------250*
 
Nahisi ni bora ikawepo sehemu tete ambayo wakuu watakuwa wanaweza kutuwekea pale ambapo weshapata uhakika wa kiti kunyakuliwa na chama flani kuliko nionavyo ,mio hadi sasa cjui Chadema wamechukua viti vingapi wala CCM kwani nina huzuni kwa wizi uliofanywa huko Zanziibar hata Shein amekiri na nimemsikia Kinana nae akikiri kwa kusema CCM haikushinda ila walioshinda ni WaZanzibari kauli inayoashiria kuwa kuna tendo kwani CCM wakishinda huwa wanasema wameshinda CCM ,inatosha. Hivyo ni bora ikiwa mtu anauelewa wa uelewa mzuri wa viti vinavyonyakuliwa kiidadi ni bora ,ili hata kama mtu akisinzia atajua wapi akapate total ,ni hayo,nawasilisha hoja.
 
Wape Hi CCM
 
kwa taarifa ya majimbo niliyonayo
Chadema...........22
CCm..................57
CUF...................sina hakika
 
Paste Update please:-Hadi sasa ....!

Chadema viti vya Ubunge ----------- 22
CCM viti vya Ubunge ----------- 57
CUF viti vya Ubunge ----------- 24
TOTAL=103
Viti vya ubunge Tz nzima------------250
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom