Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,617
- 8,737
Wanajifariji kisa magari ya washa washa yameanza kupatwa na kutu,Jana kariakoo kuna vipeperushi vilikua vinasambazwa wanataka kufanya maandamano kupinga kinachofanyika gaza
Watu wa daaaaaah....😅😅