Hadi sasa mahandaki 130 yamefumuliwa na jeshi la Israel

Hapa huwaoni Hamas wa bongo watukanaji kina FaizaFoxy Alwaz (mtupu) n.k

Harakat Gaidi zinakomeshwa

Haleluya Msifuni Bwana wa Majeshi Jemedari Mkuu wa Vita Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Mungu Baba Yetu Mwema.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Hatari sana, yaani haya magaidi ya kidini yalikua yamejiandaa zaidi ya balaa, sema jeshi la Israel sio mchezo, limefumua mahandaki mengi sana ambapo watu walikua wanaishi kama fuko humo..................
Kwa hiki kipigo aise HAMAS wanafutika kweli.......

The Israel Defense Forces on Wednesday claimed it has destroyed 130 Hamas tunnel shafts since the start of the war, as Israel continues the "expansion" of its ground operation in Gaza.


"As part of the ground forces' activity in the Gaza Strip, IDF soldiers are currently working to expose and destroy Hamas’ tunnels," the statement said. "Since the beginning of the fighting, 130 tunnel shafts have been destroyed."

The IDF added that Hamas' "preparation for a prolonged stay in the tunnels can be seen based on water and oxygen means found in the tunnels."
ai2html-graphic-mobile375.a65b1c42.jpg



Hamas kapatikana. Alijua Israel hataingia Gaza. Sasa Kaingia na anampigia vibaya. Nadhani Kama Hamas atasalimika, hatarudia Tena huo ujinga. Na hata raia wa Gaza hawatakubali huo ujinga.
 
Nilimsikiliza kiongozi wa Lebanon akihojiwa anailaumu Israel kwa uharibifu wa Gaza. Alipouliza Kuwa chanza Cha kuharibiwa kwa Gaza si shambulio la Hamas la October 7 lililouwa Mayahudi 1,400 wakiweno watoto na wanawake? Akasema ni haki ya Hamas kuuwa Mayahudi kwa sababu hawana ardhi pale lakini Siyo haki kwa Israel kuiharibu gaza
Wenyewe mmejionea suna haja ya kusema tena😂
 
Inaoneka hako kamji kagaza kamejaa tu mahandaki na inaonekana shughuli kubwa ya hako kamji ilikuwa ni ugaidi. Kwahiyo Israel kwa anachofanya yupo sahihi na inatakiwa afanye zaidi.
si upuuzi mtupu kujenga mahandaki wakati unayemshambulia anajua umejificha huko. Mbona anakuja kuyabomoa kirahisi kwa kuwa anajua yaliko. Akili zingine za ajabu sana ni sawa na kujificha kwenye shamba la karanga ukidhani umejificha kwenye msitu mkubwa
 
Back
Top Bottom