Wahuni ni watekaji au wanaopinga itekaji nani muhuni apo kichwa maji kabisaBora shughuli zisiendelee lakini kuwe na amani.wahuni WANATAKIWA kudhibitiwa Kwa GHARAMA yeyote
Tunasubiri Dakika za nyongeza tuchomoe goli na tuongeze goli la ushindi maana dakika za majeruhi Maadui watakua wamejisahau kwa kujua wameshashinda mechiWaandamanaji wako offside, alafu nyie mnafanya nn mtandaoni badala ya kuingia barabaran
Mpira ni dakika 90 dakika bado zipo nyingii sasa hivi ndiyo kipindi cha kwanza dakika za mwanzo mwanzo, Subiri ifike dakika za 85 uko milango itakua waziAu ndo mnaandaa nyenzo za kuhifazia mali mtakazo zipora madukani
Ulisoma hadi darasa la ngapi? Maana kuandika tu kiswahili fasaha hujui.Wahuni ni watekaji au wanaopinga itekaji nani muhuni apo kichwa maji kabisa
VAR(chopa) zipo leo hakuna goli la mkonoTunasubiri Dakika za ら Tunasubiri Dakika za nyongeza tuchomoe goli na tuongeze goli la ushindi maana dakika za majeruhi Maadui watakua wamejisahau kwa kujua wameshashinda mechi
Naweza kukupa location tuzinese mkaliSawa mjanja wa mtandaoni
Kichwani una takatakaJamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Daaah!! Kwa mbinde naona GEN-Z wameanza kurudisha magoli ila kwa kujikongoja...
Striker wangu CDF nakutegemea uzidi kuongeza magoli
Huyo yupo goma drc,nadhani hajaona video ya kule mwanza.au anasubiri aone moshi unafuka kama MO29Mida bado, tuliza mihemko ya kibibi
Anayeongoza ni Abdul, CDF ni chawa tu kama chawa tu kama kina Wema, Mwijaku na Steve Mengele.Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Matamko ni mengi hadi sasa,nasikia kuna mtu kavuta kamba ya mbuzi yupo ndaniNan ametamka mkae ndani wakati tamko linasema kama huna shughuli za ulazima ndo ubaki nyumbani
Mkuu umechemka kwa ulivyosema CDF anaongoza.Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.