Hadi sasa CDF anaongoza 1-0

Hadi sasa CDF anaongoza 1-0

Hakuna CDF hapo.

Kwanza karusha CHOPPER za Jeshi nyingine zimechokaaaaa, mpka vijijini kutisha watu.

Yaani tuombe tu Mungu, tusivamiwe kutika nje.

Hakuna kitu hapo.
Kuna chopper zingine kweli ni mikweche kabisa aisee. Nadhani ni za miaka ya 80/90 huko wakati shirikisho la Urusi ya zamani likisambaratika. Chopper inaunguruma mpaka unajua kabisa kuwa injini ilishachoka hii lakini wapasua matofali ndo kwanza wanakenua meno huku wakining'inia milangoni na mabunduki yao makubwa utafikiri wapo DRC wakipelekewa moto na vijana wa Kagame!
 
Yaani kabisa unampa cdf ushindi kwa kutumia nguvu kubwa dhidi ya vijana wadogo wasio na silaha Wala mbinu zozote za medani ya vita. Uko sawa kwa head kweli?

Ukweli ni kwamba gen*z wameshinda maana kupitia wao:
1. Tumejua kwamba majeshi yetu hayana weledi wa kutofautisha social crimes, mass demonstration, military coup, revolutionary movements or panya rodi bandistry n.k. wao wanakurupuka tuu kutumia nguvu yote bila assessment.
2. Leo jiji limelala hakuna shughuli ya uchumi ya maana inayofanyika mjini hata kama ni mapumziko watu huwa wanaendelea na shughuli zao za kawaida.
3. Pressure pressure pressure, wakubwa wa selekale na vyombo vya ulinzi wamelala na viatu ni kama ilivyo kwa machokoraa wasio na makazi.
4. Kumbe maandamano ni threat kubwa kwa watawala slowly gen*z are learning to come up with best strategies while huyo unayemuita mshindi anaendelea na old mechanism ya kill to shoot.
Umejisumbua sana kubishana na hawa wapumbavu.
 
Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Ni mbwa wa samiaSamia tu awazaye ushindi wa kizwazwa..
Hebu jitambulishe kama wewe ni mbwa au ng'ombe wa Samia.

Who are you?
 
Hii ni nchi au jehanam, mtu unafungiwa ndani kama mfugo hakuna kutoka! Hata wakoloni hawajawah kuwafanyia mababu zetu hivi🙌🤣
 
Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Kaka naona unashangilia kwa sababu unakunywa maziwa sio..! Una ka mrija ndio maana unaongea hivyo na kufurahia wakati bodaboda tunapigwa na jua kila kukichaa. Acha dharau kaka..!!
 
Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Kwa hiyo na kesho mtatufungia ndani? Manake genz wamesema hayana mwisho
 
Back
Top Bottom