kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,122
- 15,688
Mida bado, tuliza mihemko ya kibibi
Dah una akili sanq mwanangu kunywa soda nakija kulipaHadi sasa Gan Z wanaongoza hakuna shughuli yeyote inayoendelea
Anayeathirika ni GenZ.serikali ataendelea kukukamua Kodi wewe GenZ ili KUZUIA uhalifu unaotaka kuufanyaSasa anayeathirika hapo ni serikali au jenzii?
Waandamanaji wako offside, alafu nyie mnafanya nn mtandaoni badala ya kuingia barabaranDah una akili sanq mwanangu kunywa soda nakija kulipa
Biashara ya kuuza kinyeo?Unataka tufungue biashara zetu mje kupora mali zetu
Hadi sasa Gan Z wanaongoza hakuna shughuli yeyote inayoendelea
Kwahio wews unakaaga tu mtandaoni unatisha watu kuingia road hutakBiashara ya kuuza kinyeo?
Kwa hakika mungua akurehemu na akurejeshee akili na marinda iliyolegezwa.
Kwahiyo CDF anapambana na wananchi wake mwenyewe wasio na mafunzo wala wembe???Jamani kama mlivyo jionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Huoni kama Gen Z wanaongoza hadi sasa, serikali inapoteza mapato kiasi gani baada ya shughuli za uchumi kusinama na fedha wanatumia hovyo kurusha ma helkopta, kuzunguka na magari hovyo, kulipa polisi, wanajeshi na vyombo vingine vya usalama hili tishio haliishi leo tu na siku zijazo hiyo sio picha nzuri kwa serikaliUnataka tufungue biashara zetu mje kupora mali zetu
CDF wa ajabuKwahiyo CDF anapambana na wananchi wake mwenyewe wasio na mafunzo wala wembe???
😅😅😅😅😅
Niko road muda huu mkuu.Kwahio wews unakaaga tu mtandaoni unatisha watu kuingia road hutak
Hakuna CDF hapo.CDF wa ajabu
CDF = JESHI LA WALANCHIJamani kama mlivyo jionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Vibaka wamesimamisha Dar na miji mikubwa yote. Mpaka mmefuta sikukuu za uhuruCDF endelea kukaza, ili kuhakikisha vibaka wanajificha kwenye mwavuli wa maandamano leo hawalambi unga.