Hadi sasa CDF anaongoza 1-0

Hadi sasa CDF anaongoza 1-0

Screenshot_20251209-090900.jpg
 
Bora shughuli zisiendelee lakini kuwe na amani.wahuni WANATAKIWA kudhibitiwa Kwa GHARAMA yeyote
Unasema shughuli zisiendelee? Unajua tafasiri yake.?

Kwahiyo wakisema wameamua kuandamana kila siku itakuaje? Kama umeshindwa kwenda kwwnye shughuli zako tafsiri yake hakuna amani
 
Kama mchana huu hujatoka jioni ndo usijidanganye kabisa mtakula risasi hadi yule bibi yenu kigagula mangekimambi anaewatuma aanze kulia yeye
 
Kama taifa wala haitakiwi kufikia hatua ya kusifiana kwa haya yanayoendelea. Natamani turekebishe tulipokosea maisha yarejee kama miaka ya nyuma. Ila kwa mtindo huu ulioanza mo29, hao vijana watakua wanaamua ni lini, mwezi upi na saa ngapi waijambishe serikali na vyombo vyote vya dola. Shughuli zote za uzalishaji na kiuchumi zisimame via lock downs ambazo zitakua zinaamriwa kwa matishio ya kuandamana kila watakapotangaza ivyo. Hatupaswi kuwa taifa la aina hii.
 
Back
Top Bottom