Cyclopedia
Member
- Nov 11, 2015
- 25
- 41
Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Baada ya Maandamano ya GEN-Z kufeli basi tuandae maandamano yenye lengo la kuipongeza serikali kwa kuendelea kudumisha na kuitunza amani ya nchi yetu.
Baada ya Maandamano ya GEN-Z kufeli basi tuandae maandamano yenye lengo la kuipongeza serikali kwa kuendelea kudumisha na kuitunza amani ya nchi yetu.