Hadi Obama anaijua

Acha ushamba, Obama haijui Yanga wala Simba. Licha ya kuijua Man City na Man Utd huwezi kumkuta akipoteza muda kushangilia 6-1! Hapo alikuwa akishangilia issues kama 'Justice has been done' baada ya Osama ku-carrass na kuzikwa hovyo hovyo. Usiendelee ku-corrupt innocent minds. Hapo ume-paste unazi wako.
 
Naona umetumwa kuja kunitafutia ban.
Ngoja nipite kimya kimya!

kusoma hujui, hata picha huoni, huo muda ulioutumia ku-comment ni bora ungeenda kariakoo kum-replace Issah Ponda kuandamana coz tangu akamatwe maandamano ya kila ijumaa kariakoo yamekwisha
 

kwikwikwikwikwiiii #mawazoyakishabiki
 
matokeo yanafurahisha lakini.
Kila mtu atacheka ndo iwe Obama!
 

Duh, watu mko serious kila mara. Masikhara tu hayo mtani...
 
obama anaifahamu hii pia?
 

Attachments

  • Simba_vs_Yanga.jpg
    29.8 KB · Views: 60
Maneno hayooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
 

Attachments

  • Yanga Bingwa 2012-13.jpg
    34.5 KB · Views: 40
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…