Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,493
Kuna haya mashindano ya BBA ambayo Tanzania huwa "tunashiriki " na hao " wawakilishi" huwa wanaenda na bendera kabisa za taifa.
Matendo yanayofanyika huko ni hatari tupu, kwani kuna yule demu wa EATV aliliwa live huku dunia ikishuudia, hatukomi bado mwaka huu kaenda tena mwingine.
na wakiwa kule wanatambulishwa kama mwakilishi wa Tanzania kabisa kama Taifa stars!
Sasa watanganyika wenzangu tutaendelea kushabikia huo utumbo hadi lini? au mpaka mwanaume agegedwe kule live ndo tutajifanya tunashtuka?
Shtuka na chukua hatua
maneno matupu hayavunji mfupa....
unaweza ukaweka ushaidi wa huyo binti alivyokuwa analiwa!!!
vp tena ndg!!
Shida hapa ni kugegedwa kwenye kideo au ni kugegedwa enewea?
Shwari inakuaje mwanangu data
Ikiwapepea kwa mtindo wa Tanzania Tanzania naipenda kwa moyo woteeeeee.....kugegedwa kwenye kioo huku bendera ya tanganyika ikiwa pembeni!
Yaan we nae uporipori umekuelemea... watu wanaoga we unadai wamebanjuana???
eve huoni hapo anavyoshukia kitu kuoga gan hukoo, sema ulitaka uone huko chinii hapo kaukalia msumali na unamchoma haswa huoni kasinziaa ,hiv kutiana kwenye maji si ule mnato utaisha jamaniimi mwenyewe nimefungua fastaaa nakuta watu wamekaa tu mxyuuuu
We cheki vizuri anapigwa finger huyo!mi mwenyewe nimefungua fastaaa nakuta watu wamekaa tu mxyuuuu
kugegedwa kwenye kioo huku bendera ya tanganyika ikiwa pembeni!