Rich Dad
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 748
- 133
Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu ( do not last longer or is something temporary). Na ndo maana leo hii upo na uliyenaye, na kujihisi ndo umefika. Baada ya muda utapata mwingine na utamsahau kabisa huyu uliyenaye sasa, ambaye unahisi bila yeye dunia haikaliki.
Kumbuka umewadanganya wangapi hadi sasa kwa kuwatamkia maneno kama vile honey, sweetie, my love, babes, nikinywa maji nakuona, sipati usingizi bila wewe, ukiniacha nitajiua n.k lakini leo yako wapi?
Ndo ujue ya kwamba mapenzi ni politics zinazokaribiana na ukweli. Licha ya kwamba binadamu anahitaji kupenda na pia kupendwa tusijisahau sana wajameni.
Swali la kujiuliza: mpaka leo umedanganya wangapi?