Hadi leo umewadanganya wangapi unawapenda kwa dhati?

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu ( do not last longer or is something temporary). Na ndo maana leo hii upo na uliyenaye, na kujihisi ndo umefika. Baada ya muda utapata mwingine na utamsahau kabisa huyu uliyenaye sasa, ambaye unahisi bila yeye dunia haikaliki.

Kumbuka umewadanganya wangapi hadi sasa kwa kuwatamkia maneno kama vile honey, sweetie, my love, babes, nikinywa maji nakuona, sipati usingizi bila wewe, ukiniacha nitajiua n.k lakini leo yako wapi?

Ndo ujue ya kwamba mapenzi ni politics zinazokaribiana na ukweli. Licha ya kwamba binadamu anahitaji kupenda na pia kupendwa tusijisahau sana wajameni.

Swali la kujiuliza: mpaka leo umedanganya wangapi?
 
sawa hata kama ni hivyo lakini dhana itaendelea kubaki ile ile, whether you agree or not!

kaka mie nina miaka sitini hata kuchakachua siku hizi kwa mashaka sasa unaposema nikihisi nimemchoka nitataka mwingine unanichanginyi kidogo
 
Hongera kwa kuwa na umri mkubwa, Je, ukikumbukia historia yako ya kimapenzi haikukumbushi chochote? na huyo uliyezeeka naye ni alfa na omega? kama ni hivyo hongera zako!
 
kaka tatizo nyie vijana wa kileo mnamatatizo sana enzi zetu mpaka natimiza miaka ishirini na tano ya kuoa sikuwa namjua mwanamke sema tu hapa katikati nilijichanganya kidogo.....lakini niliye naye ndo huyo niliyeanza nae ule mwaka wa sitini na tano
 
Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu

Swali la kujiuliza: mpaka leo umedanganya wangapi?
Kutoka kwenye hizo statements mbili basi hakuna aliyedanganya cause at the time ulikuwa umependa na haukujua yatakayotokea kesho.... Therefore at that instant a lie was not committed.
 
kaka tatizo nyie vijana wa kileo mnamatatizo sana enzi zetu mpaka natimiza miaka ishirini na tano ya kuoa sikuwa namjua mwanamke sema tu hapa katikati nilijichanganya kidogo.....lakini niliye naye ndo huyo niliyeanza nae ule mwaka wa sitini na tano
Tatizo sio umri, tatizo ni politics zilizopo kwenye mchakato mzima kabla na baada ya kumpata mwenza wako! kuna visababishi vinavyofanya penzi lichuje na kubaki sifuri kabisa. Ndo maana nasimamia ya kwamba hakuna mapenzi ya kweli chini ya jua, tunajidanganya kwa ndoa kutokana na sababu za kiusalama zaidi ( security reasons)
 
Kweli huo ni uongo haswa!Biashara ya kuonana kwenye glass na kujiua kwaajili ya mapenzi haviexist katika hali ya kawaida labda kama mtu 'kadata' haswa!!Kwa kujibu swali lako kama mtu alikua anamaanisha kwa wakati huo then hajadanganya.Ni kweli alikua anapenda kwa wakati huo..mapenzi yanachakachulika so yanakuja na kuondoka..ukiwa na bahati sana unapata ya kudumu!
 
Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu ( do not last longer or is something temporary). Na ndo maana leo hii upo na uliyenaye, na kujihisi ndo umefika. Baada ya muda utapata mwingine na utamsahau kabisa huyu uliyenaye sasa, ambaye unahisi bila yeye dunia haikaliki.

Kumbuka umewadanganya wangapi hadi sasa kwa kuwatamkia maneno kama vile honey, sweetie, my love, babes, nikinywa maji nakuona, sipati usingizi bila wewe, ukiniacha nitajiua n.k lakini leo yako wapi?

Ndo ujue ya kwamba mapenzi ni politics zinazokaribiana na ukweli. Licha ya kwamba binadamu anahitaji kupenda na pia kupendwa tusijisahau sana wajameni.

Swali la kujiuliza: mpaka leo umedanganya wangapi?

sijawahi kabisaaaaaa
 
kaka mie nina miaka sitini hata kuchakachua siku hizi kwa mashaka sasa unaposema nikihisi nimemchoka nitataka mwingine unanichanginyi kidogo

hahhahhahhahah lol shoot me lol.

mmmmhh HashC shikamoo babu !!!!!!!!!!!!!!!!:car:
 
mmmhhh itakuwa bahati kama ukipata mtu atakaye kujibu w\swali lako...
utapigwa chenge hapa mpaka basi..
utaletewa maneno ya science na technology mmmmhhhhh
pole dear..

mimi mwenyewe sijui...
 
Kudanganya na kudanganywa ndiyo mfumo uliopo, mbona wanaodanganyika ni wengi? wanaume wamejiua na hata mademu nao, wnegine wamekunywa au kutishia kunywa sumu. Acha mzee watu wajiliwaze na taabu zao, ukimpata, kata, akikusumbua funua na achana nae kwani wanawake wengine wamegeuza wanaume ni wa kuwalilia na kuwagema tu, eti, ATM yangu itpiga sasa hivi!!!
 
Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu ( do not last longer or is something temporary). Na ndo maana leo hii upo na uliyenaye, na kujihisi ndo umefika. Baada ya muda utapata mwingine na utamsahau kabisa huyu uliyenaye sasa, ambaye unahisi bila yeye dunia haikaliki.

Kumbuka umewadanganya wangapi hadi sasa kwa kuwatamkia maneno kama vile honey, sweetie, my love, babes, nikinywa maji nakuona, sipati usingizi bila wewe, ukiniacha nitajiua n.k lakini leo yako wapi?

Ndo ujue ya kwamba mapenzi ni politics zinazokaribiana na ukweli. Licha ya kwamba binadamu anahitaji kupenda na pia kupendwa tusijisahau sana wajameni.

Swali la kujiuliza: mpaka leo umedanganya wangapi?
Wewe umedanganywa na wangapi? Mimi nimewadanganya woote walionidanganya.....!
 
Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu ( do not last longer or is something temporary). Na ndo maana leo hii upo na uliyenaye, na kujihisi ndo umefika. Baada ya muda utapata mwingine na utamsahau kabisa huyu uliyenaye sasa, ambaye unahisi bila yeye dunia haikaliki.

Kumbuka umewadanganya wangapi hadi sasa kwa kuwatamkia maneno kama vile honey, sweetie, my love, babes, nikinywa maji nakuona, sipati usingizi bila wewe, ukiniacha nitajiua n.k lakini leo yako wapi?

Ndo ujue ya kwamba mapenzi ni politics zinazokaribiana na ukweli. Licha ya kwamba binadamu anahitaji kupenda na pia kupendwa tusijisahau sana wajameni.

Swali la kujiuliza: mpaka leo umedanganya wangapi?

Mdogo wangu,

Watu humu wanajadili jinsi ya kudumisha mahusiano na wala si kuyavunja. Kama alivyosema mchangiaji mmoja, kwa umri wako unaona kuonja na kuacha ni ufahari kama afanyavyo ngedere katika shamba la mtu. Kama wewe ni binti itanisikitisha sana; na kama ni kama ni mvulana ninachefuka.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom