MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,288
- 1,262
Wadau Habari za kazi. Nimetafakari Sana Miradi ya Kimaendeleo iliyoko Dar na hatua iliyofikia, inatia Moyo kiasi kwamba ndani ya mwezi 6 tangu sasa kwa MIUNDOMBINU Dar itakuwa Kama Ulaya.
Check Ubungo interchange, Flyover ya TAZARA, Flyover zinazojengwa Uhasibu na Ile ya makutano ya barabara ya Keko, barabara nzuri ya Ocean Road, ya Victoria na Mwenge zinazoendelea kukamilishwa, barabara nzuri Sana ya kuelekea Morogoro, Daraja LA Slender, mibarabara ya Mwendokasi hadi Mbagala, Treni ya Mwendokasi yaani SIPATI PICHA.
Nawasihi Sana tuendelee kuwaombea viongozi wetu wakamilishe Miradi hiyo.
NAWASILISHA